Wanawake kama wanajua waache kuuliza maswali. Baba yangu alituambia toka amuoe mama yetu hata arudu nyumbani saa ngapi mama hamuulizi ulikuwa wapi wala ninj mpk baba akaanza kujistukia akajua hapendwi au mama yuko na mwingine kumbe mama aliambiwa na mama ake ukitaka umuweze mwanaume ignore him na mambo yake. Mpk leo wtt tumezeeka baba anasimulia.jinsi hata akirudi asubuhi mama hamsemeshi chochote. Mama alikuwa anasema kama akifa si nitaletewa maiti ni mtu mzima sina haja ya kunfuatilia kama mtt mdogo anajua anachofanya.