falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
Wanaume hebu tiririkeni maswali ambayo hampendi kuulizwa na wake au wapenzi wenu ili wayajue. Mie swali linalonichosha ni kama nikiulizwa "una ratiba gani leo"?
Wanaume hebu tiririkeni maswali ambayo hampendi kuulizwa na wake au wapenzi wenu ili wayajue. Mie swali linalonichosha ni kama nikiulizwa ""una ratiba gani leo"?
Hivi bby unanipenda kweli?
Mfyuuuu ukinihusu lazima nikuulize maswali
Nasema hivi lazima maswali upate
Uko wapi??
umegusia kitu cha msingi hapo mwanzoAnataka akupige chenga ya mwili nini?? Ukimjibu kazini mpaka saa kumi na yeye kwa kidumu mpaka saa kumi hahahaaaaa....!!!
Wengine huuliza hivyo ili ajue kitu gani anakufanyia saa ngapi na mambo yake na yeye ayafanye saa ngapi!! Mfano ni weekend unaenda job nusu siku anataka ukirudi home ukute kakuandalia maakuli maalum kwa mume....!!
Mengine ni hisia zetu tu za kiume......!!!