Utafiti Uliofanywa na Chuo Kikuu cha New York Umesema kwamba Wanaume ambao hufikia mshindo angalau mara 21 kwa mwezi hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume.
Tupeni jamani tusije pata Tezi Dume kwa hali hii ya Tanzani. Ooh nimekupa jana tu na leo unataka tena, Oooh me sijisikii kufanya, Oooh Sijui mimi nimechoka...
Jamani mtatuua na Tezi Dume tuoneeni uruma...
Check mnavyojitetea