Wanawake msipende sana, mtaishia kuumizwa

Wanawake msipende sana, mtaishia kuumizwa

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,851
Wanawake mnajifanya mnapenda sana wanaume mwisho wa siku mnaishia kuumizwa.

Yaani uhusiano kidogo mtu anakukaa moyoni mpaka basi kila mara kupiga simu mara kuulizia amekula nini kumtambulisha kwa marafiki yeye kwanza hana habari na wewe.

Imefikia kipindi wanawake mmekuwa wahongaji kuzidi wanaume mpaka mahari mnatulipia, mkishaumizwa mnaanza kulialia na kubadilisha status WhatsApp mara am single Mother na ujinga mwingine.

Kuweni makini na mahusiano ya siku hizi sisi wanaume ni miduara hatutabiriki msipobadilika mtaendelea kulizwa kila siku.

Yangu ni hayo tu upendo wa kweli ni wa mama tu.
 
Last edited by a moderator:
Lione limetoka kuzinguliwa huko mara ghafla linaanzisha uzi...na bado
 
Lione limetoka kuzinguliwa huko mara ghafla linaanzisha uzi...na bado
Mkuu mimi nina mke na namheshimu na yeye ananiheshimu sana nimeandika maana wanawake mnahaingaika sana na mapenzi
 
Basi itabidi waanze kutembea na plasta kwenye pochi wakiumizwa tu wanaibandika fasta.
 
Wanawake mnajifanya mnapenda sana wanaume mwisho wa siku mnaishia kuumizwa yaani uhusiano kidogo mtu anakukaa moyoni mpaka basi kila mara kupiga simu mara kuulizia amekula nini kumtambulisha kwa marafiki yeye kwanza hana habari na wewe, Imefikia kipindi wanawake mmekuwa wahongaji kuzidi wanaume mpaka mahari mnatulipia, mkishaumizwa mnaanza kulialia na kubadilisha status WhatsApp mara am single Mother na ujinga mwingine, kuweni makini na mahusiano ya siku hizi sisi wanaume ni miduara hatutabiriki msipobadilika mtaendelea kulizwa kila siku.

Yangu ni hayo tu upendo wa kweli ni wa mama tu.
Ngastukaaa machalee kundesaa
 
Back
Top Bottom