Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Unauliza hawaogopi? Hawaogopi nini? Kwani wenye magari na majumba ni mashetani hadi wajutie maisha yao yote?Kumekuwa na hii hali dada zetu hawataki kuanzisha mahusiano au kuolewa na wanaume wenye vipato vya chini. Wengi watakwambia wanataka wanaume wa maana wenye nyumba na magari
Muda mrefu nimekuwa najiuliza hivi hawaogopi au wamekubali tamaa zao ziwapelekee kujutia maisha yao yote?
Huu uzi wengi hawajafungua akili na wachangiaji wengi hawaelewi naongelea ila ni muhimu sana kwa dada zangu kcheki afya kwanza kabla ya mambo mengi mana wengi wenye magariUnauliza hawaogopi? Hawaogopi nini? Kwani wenye magari na majumba ni mashetani hadi wajutie maisha yao yote?
Ni kweli
Kumekuwa na hii hali dada zetu hawataki kuanzisha mahusiano au kuolewa na wanaume wenye vipato vya chini. Wengi watakwambia wanataka wanaume wa maana wenye nyumba na magari
Muda mrefu nimekuwa najiuliza hivi hawaogopi au wamekubali tamaa zao ziwapelekee kujutia maisha yao yote?
Hahaacha kelele , tafuta gari uwale kimasihara
StereotypeHuu uzi wengi hawajafungua akili na wachangiaji wengi hawaelewi naongelea ila ni muhimu sana kwa dada zangu kcheki afya kwanza kabla ya mambo mengi mana wengi wenye magari ni
Tupe tafsiri sasaStereotype
Huu uzi wengi hawajafungua akili na wachangiaji wengi hawaelewi naongelea ila ni muhimu sana kwa dada zangu kcheki afya kwanza kabla ya mambo mengi mana wengi wenye magari ni