Wanawake msikengeuke kisa eti mmefika chuoni ama una Degree

umepigwa chini nini mdau?acha mtu awe na mwanaume wa level yake,mambo ya kujipa moyo cjui shigongo kafanya nini yalishapitwa na wakati,pambana!...
ndo akili zenu hizo, kwani kutoa ushauri ni mpaka niwe mhanga?
 
Sio wanawake tu, ata wanaume pia.

asante kwa ushauri mwaego!
 
Hata hivyo ni vigumu sana kwa binti msomi kumkubali kijana mwenye elimu ya kawaida, huu ndio ukweli.
 
Si busara mdada kumtupilia mbali mpenzi wake wa mwanzo kisa tu eti kafika chuo. Mapenzi ni maelewano na maridhiano na sio elimu.
Mshinga
 
Last edited by a moderator:
lara 1 wantia hasira ujueee....nlikuwa sina mipangilio ya shule ila walah unanipa mzuka.....ngoja nione kwanza
 
Last edited by a moderator:

Sikatai wapo ambao hawajasoma ila wana uelewa mzuri wa mambo lakini mtu aliyesoma hawezi kuwa kichwa empty hata siku moja.....yapo mambo anayoyajua ambayo asingeyajua kama asingekwenda shule
 
Sikatai wapo ambao hawajasoma ila wana uelewa mzuri wa mambo lakini mtu aliyesoma hawezi kuwa kichwa empty hata siku moja.....yapo mambo anayoyajua ambayo asingeyajua kama asingekwenda shule
Khantwe mapenzi ni.maelewano kwanza na maridhiano
 
Last edited by a moderator:
Sifa ya msomi ni kuwa-hamble na cio being CORRATERAL DAMAGER,kuna mtu hmu kla nyanja yee n hodar,i doubt elimu yke kaipata mbngun au dunian? ungesomea UDKT wa bnadamu cjui ungenataje!sembuse biashara ambayo u can guess & win,ulaya kna dpl&ctft,isiwe bongo
 


Degree ni formality in life sio kitu cha ajabu life must move on with/without it
 
Dunian kla mtu ameletwa kwa kusudi la mungu,thats why kna watu wa class tofaut,wanaounda cycling moja ya maisha,unamdharau mtu wa chet,whle anakuelimishia mwanao,au ww ulifundishwa na prf whn u was in prmry ,mkifankiwa dont be presitage(Lara 1,hpe u see)
 
Na believe me,kwa impact ya elimu ytu ya bongo inayomjaza mtu imignation ambazo hazpo,kupga hatua iz an issue,hta Shigongo angekuwa na degree asingekuwa alvyo ss,si msomi angewezaje kulala nje aksaka mafnkio dont play wth a success,its nt lke fumba fumbua.
 

LARA 1 Kwa hili nimekuelewa....soooo cute!!!!!!
 
huo mfano wa shigongo sijaupenda.
mke wake ana masters sijakataa ila nani mwenye pesa kumzidi mwenzake.. mwanamke hata awe professor nawe hujawahi kunusa darasa ila una pesa atakupenda tu.. mwanaume hata uwe professor na hauna pesa hakuna mwanamke atakutaka.
 

sijaangalia hicho kipindi....lakini kama ERIC SHIGONGO angeulizwa...."ukipewa nafasi TENA ya kwenda shule hadi top level leo ungekubali??? yaani arudi nyuma maisha yake achague kwenda shule au a fight kama alivyofight naamini angechagua kwenda shule na angetumia shule kufika hapo alipofika.......SHULE MUHIMU UKIWA NA NAFASI SOMA......Aakina BILL GATES,ZUCKERBURG NI WACHACHE SANA
 

Mkuu umesema jambo LA maana Sana'a
 

Nimependaje point zako.Alieenda shule ameenda tu jamani hata kama akitoka na zero.Mtu akiamua kukengeuka ameamua tu.

Kisemo chako ukishakua na shule hata type ya wanaume watakaokufata inabidi wajitathmini sana.

Hao wa type ya shigongo ni mmoja katika mia.( huna elimu afu upate mwanamke aloenda shule).
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…