Wanawake msichukulia kila mwanaume poa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Manara yule milioni 20
Kifungo cha miaka 2

Mama anaupiga mwingi saana
JPM ni dume kweli kweli
Yanga hivi simba anafungwa na Barcelona na lewandowski wana funga benzema ni atari kweli sawa tumekubali azizi ki

Dada zangu sio kila mwanamke wa kukimbia bia tamu
wengine wana asira zao
 
So the moral of the story ni kuwa umemloga au kachapwa karma nzito kacheza na mjukuu wa Mtume?
 
hapa duniani ufanye mema au mabaya,malipo ni hapahapa kwani Mungu ni wa haki.
 
Tuliza wenge kidogo Kuna point naona unazo ila una hasira pole kwa uliyofanyiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…