HadithiZaRuvulyDeFinisher Member Joined Jul 14, 2022 Posts 7 Reaction score 12 Jul 14, 2022 #1 Usijifanye huoni soma maelekezo hapo alafu tuambie maoni yenu
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jul 14, 2022 #2 Uke wenza wabaki nao wanauweza 😅ref. To Mpali TV program…
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,450 Jul 14, 2022 #3 Atachapiwa tu
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,793 Jul 14, 2022 #4 Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi
Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi
HadithiZaRuvulyDeFinisher Member Joined Jul 14, 2022 Posts 7 Reaction score 12 Jul 14, 2022 Thread starter #5 Azarel said: Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi Click to expand... Mmmmmmh
Azarel said: Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi Click to expand... Mmmmmmh
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,160 Reaction score 72,200 Jul 14, 2022 #6 Kibongobongo hawawezi
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,623 Reaction score 64,494 Jul 14, 2022 #7 Unamwonea wivu? Oa na wewe
Mdudubitehunter JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 337 Reaction score 569 Jul 14, 2022 #8 Azarel said: Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi Click to expand... Ndio ni marehem sasa aliitwa Laibon..alijenga mpaka shule yake pale.
Azarel said: Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi Click to expand... Ndio ni marehem sasa aliitwa Laibon..alijenga mpaka shule yake pale.
Lee Swagger JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 1,070 Reaction score 1,816 Jul 15, 2022 #9 Yuko Vzurii
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,746 Reaction score 27,217 Jul 15, 2022 #10 Wake 3,watoto 19 lazima uwe vizuri kiafya na kiuchumi....
KateMiddleton JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 4,058 Reaction score 4,953 Jul 15, 2022 #11 Wanaonekana wana maisha magumu
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,438 Reaction score 35,966 Jul 15, 2022 #12 Joseverest said: Kibongobongo hawawezi Click to expand... Umeona familia ya bilionea laizer. Wazungu wametuharibu sana
Joseverest said: Kibongobongo hawawezi Click to expand... Umeona familia ya bilionea laizer. Wazungu wametuharibu sana
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,438 Reaction score 35,966 Jul 15, 2022 #13 stephot said: Wake 3,watoto 19 lazima uwe vizuri kiafya na kiuchumi.... Click to expand... Basic need sio gharama. Shida ni mbwembwe za maisha ndiyi gharama Bilionea laizer ana hela kibao, ana watoto kibao na wake kibao ila anaishi kawaida sana
stephot said: Wake 3,watoto 19 lazima uwe vizuri kiafya na kiuchumi.... Click to expand... Basic need sio gharama. Shida ni mbwembwe za maisha ndiyi gharama Bilionea laizer ana hela kibao, ana watoto kibao na wake kibao ila anaishi kawaida sana
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,160 Reaction score 72,200 Jul 15, 2022 #14 FRESHMAN said: Umeona familia ya bilionea laizer. Wazungu wametuharibu sana Click to expand... Anhaa kumbe
FRESHMAN said: Umeona familia ya bilionea laizer. Wazungu wametuharibu sana Click to expand... Anhaa kumbe
K kamni Senior Member Joined May 29, 2019 Posts 193 Reaction score 279 Jul 16, 2022 #15 HadithiZaRuvulyDeFinisher said: Usijifanye huoni soma maelekezo hapo alafu tuambie maoni yenu View attachment 2290610 Click to expand... Familia yote kuanzia baba, wake zake na watoto wote nyuso zao hazina nuru kabisa. Haya maisha wala siwezi kuya intertain hata siku moja
HadithiZaRuvulyDeFinisher said: Usijifanye huoni soma maelekezo hapo alafu tuambie maoni yenu View attachment 2290610 Click to expand... Familia yote kuanzia baba, wake zake na watoto wote nyuso zao hazina nuru kabisa. Haya maisha wala siwezi kuya intertain hata siku moja
feitty JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 2,594 Reaction score 4,198 Jul 16, 2022 #16 Abbyrutha said: Familia yote kuanzia baba, wake zake na watoto wote nyuso zao hazina nuru kabisa. Haya maisha wala siwezi kuya intertain hata siku moja Click to expand... Hapo labda angehakikisha kila mmoja anazaa watoto wawili tu ili iwe rahisi kuwalea.
Abbyrutha said: Familia yote kuanzia baba, wake zake na watoto wote nyuso zao hazina nuru kabisa. Haya maisha wala siwezi kuya intertain hata siku moja Click to expand... Hapo labda angehakikisha kila mmoja anazaa watoto wawili tu ili iwe rahisi kuwalea.
Plan Master JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,188 Reaction score 3,773 Jul 16, 2022 #17 Depal said: Uke wenza wabaki nao wanauweza ref. To Mpali TV program… Click to expand... Depal acha ukorofi
Depal said: Uke wenza wabaki nao wanauweza ref. To Mpali TV program… Click to expand... Depal acha ukorofi
My Honest Book JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 1,363 Reaction score 2,169 Jul 16, 2022 #18 Azarel said: Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi Click to expand... Afu kuna ww sasa
Azarel said: Mbona mnamshangaa huyu, kuna Mmasai wa pale Makuyuni ana Watoto 80 wanaofahamika na anaishi nao karibu, acha wasiofahamika Ana shamba kubwa lenye ekari si chini ya 300 anachungia ng'ombe na mbuzi Click to expand... Afu kuna ww sasa
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Jul 16, 2022 #19 Kwamba kuna nini hasa cha maana kwenye uke wenza?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,279 Reaction score 185,558 Jul 16, 2022 #20 Kila la kheri zao...