Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Baunsa mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]wewe unatongozaje?
mkuu ulipona Ile issue yako?
huo ujinga wa kumpigia mtu simu kwa kujipendekeza au kujiongelesha kimapozi me siuwezi.Piga sana simu, tuma msg nzuri daily, ongea kwa mapozi,mwambie ww ni mrembo mnoo ukimuona unaisisimkwa sijui ukimuoa kama utaenda kazini. Usisahau na vihela vya vocha kidogo kidogo yani hapo kama ana bwana ake atamuacha au kama sio kumuacha ataanza kumyeyusha mpk atahamishia mapenzi kwako mazimaaaaa. Na kama huko aliko afanyiwi hayo aiseèe yani unampata kilaini kama unanawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malizia digits basi[emoji28] [emoji28] tujilie papuchi mwisho wa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe... Nimesema tu apambane... Mwenyewe atajazia...
Wewe nikikumwagia utaleta mwenyewe??
Ukikuwa=ukikua= tafadhali
Ukikuwa utajuwa.
Achana na hayo mambo endeleza masomo yako.
habari za weekend wakuu
Natumaini mnaendelea vema na weekend iliyopo na inayoendelea mbele
Tukiludi ktk mada wanawake huwa mnapenda style gan ya mtongozo mpaka kuingia kunako mahusiano??
Baada ya mahusiano kutengenezwa huwa mnakua willing kuingiliwa baada y muda gan toka mahusiano yazalishwe
asante
nawasilisha
Najuwa tatizo lako umekaririshwa na hauandiki unavyotamka. Hizo ndiyo shule za kufundisha ujinga.Ukikuwa=ukikua
Utajuwa=utajua
[emoji23] haha leo umemuweza huyu anaejifanyaga bibi kifimbo chezaUkikuwa=ukikua
Utajuwa=utajua
Na hawez kuelewaunataka kuwaelewa wanawake wanataka nini?
una safari ndefu sana ndugu.... kila la kheri
ha ha ha kubali kusahihishwa bibi kama wewe unavyowasahihisha wengine na uache kupanicNajuwa tatizo lako umekaririshwa na hauandiki unavyotamka. Hizo ndiyo shule za kufundisha ujinga.
Mimi nnaandika nnavyotamka.
[emoji23] haha leo umemuweza huyu anaejifanyaga bibi kifimbo cheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha h
ha ha ha kubali kusahihishwa bibi kama wewe unavyowasahihisha wengine na uache kupanic