Wanawake mpitie hapa tafadhari

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,104
Reaction score
1,262
habari za weekend wakuu
Natumaini mnaendelea vema na weekend iliyopo na inayoendelea mbele

Tukiludi ktk mada wanawake huwa mnapenda style gan ya mtongozo mpaka kuingia kunako mahusiano??

Baada ya mahusiano kutengenezwa huwa mnakua willing kuingiliwa baada y muda gan toka mahusiano yazalishwe

asante
nawasilisha
 
unataka kuwaelewa wanawake wanataka nini?

una safari ndefu sana ndugu.... kila la kheri
 
Afe kipa,afe beki ndugu hapa jibu hautapata.Tunajijua wenyewe kama vile nyie mjijuavyo
 
Ckuiz hamna mitongozano....

LOVE ABOVE ALL[emoji173]
 
Mwingine unaweza kukutananaye Siku hiyohiyo unamatongoza na kwenda kumla Siku hiyohiyo
 
Mwingine unaweza kukutananaye Siku hiyohiyo unamatongoza na kwenda kumla Siku hiyohiyo
 
Piga sana simu, tuma msg nzuri daily, ongea kwa mapozi,mwambie ww ni mrembo mnoo ukimuona unaisisimkwa sijui ukimuoa kama utaenda kazini. Usisahau na vihela vya vocha kidogo kidogo yani hapo kama ana bwana ake atamuacha au kama sio kumuacha ataanza kumyeyusha mpk atahamishia mapenzi kwako mazimaaaaa. Na kama huko aliko afanyiwi hayo aiseèe yani unampata kilaini kama unanawa
 
Mwingine unaweza kukutananaye Siku hiyohiyo unamatongoza na kwenda kumla Siku hiyohiyo
Mwingine unaweza kukutananaye ukamtongoza ukaenda kumla Siku hiyohiyo
 
= tafadhali

Ukikuwa utajuwa.

Achana na hayo mambo endeleza masomo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…