mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 169
Inapendeza zaidi bikra iyo ikatolewa ndani ya ndoa. Na sio kumegwa tu kiselaInapendeza sana ikiwa aliyekutoa bikra ndio mume wako
na itapendeza zaidi ikiwa yeye wa kwanza kwako na wewe wa kwanza kwake LOLInapendeza sana ikiwa aliyekutoa bikra ndio mume wako
Wewe kwako ilkuaje??inategemea ntu na ntu
MakubwaWewe kwako ilkuaje??
Lakini utakumbuka tuuu aliye kufungulia milango ya kheriUnasahau tu mbona ni kuupokea ukweli tu kwamba mahusiano yenu yamekufa
Yote hayo yatapendeza zaidi kama mkiishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishena itapendeza zaidi ikiwa yeye wa kwanza kwako na wewe wa kwanza kwake LOL
Imagine!!! Labda kuna aliyoitoa recentlyBikra Bikra.....
Hii pia ni news alert
Kuna wengine bikira zimetolewa kwa uchungu sana ni vyema kutokumbuka na maisha yaendelee(kama ilitolewa na baba mdogo, mjomba au baba mzazi )Lakini utakumbuka tuuu aliye kufungulia milango ya kheri
na itapendeza zaidi ikiwa yeye wa kwanza kwako na wewe wa kwanza kwake LOL