Wanawake mnawachukuliaje wanaume waliowatoa bikira?

mwanahabari93

JF-Expert Member
May 20, 2015
263
169
Naomba kujua kutoka kwa wakina dada,

Hivi mwanaume akikutoa bikira unakuwa na mapenzi nae ya dhati au mnakuwa mnafikiria nini kutoka kwa huyo aliekufungulia njia?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom