Wanawake mnatusingizia mengi sisi wanaume.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,198
Reaction score
14,380
Tunawapenda na kuwaheshimu sana. Tunathamini michango yenu katika maendeleo yetu. Ila muache tabia ya kutusingizia sisi wanaume mnatufedhehesha.

kazini. mwanamke akichukuliwa hatua kazini au kufukuzwa kazi kutokana na makosa aliyoyafanya atasingizia kuwa boss alikuwa akitaka rushwa ya ngono akamkatalia ndo maana kamsimamisha kazi.

Ndoa. pakiwa na mifarakano ndani ya ndoa na mkaenda kudai suruhisho kwa wazazi mwanamke atajifanya ana makosa bali wewe ndo mwenye makosa usishangae mwanamke mbele ya wazazi akasema ulitaka mapenzi kinyume na maumbile akakukatilia ndipo mkaanza kukorofishana.

Mkiachwa. utasikia mwanaume gani yule kwanza ajawahi hata kunifikisha kileleni na ana kibamia bora tu kanipunguzia stress kumbe moyoni mnaumia.

Na sisi wanaume sio kila muda tunapenda kugegedana kwa hiyo mnapotutega na tukashindwa kurespond msiseme wanaume wengi sasa wanaukosefu wa nguvu za kiume.

Good morning.!
 
Wamekusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom