IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,182
Huu muda unatoa wapi mkuu?? Unaweza kuta asilimia 50 ya uliowachunguza sio wanawake halisi bali ni wanaume. Usichukulie siriaz sana maisha ya mtandaoni inaweza ikakugharimu hata furaha yakoNimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum
Wanakuchukulia kama mtu uliyejiunga na mitandao kupunguza stressHabari wanajamii...
Nimeona nielekee kwenye mlengo wa madaa husika, Nimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum na kubaini kuwa wengi wa mabinti waliojiunga na
Wote ni mademu hao au ulikua unataka umuone Bantu Lady na Aaliyyah ndio useme kweli!Hao uliowatag unauhakika gani kwamba ni Wanawake?? Mjini hapa kuwa makini,
Mbaba hapa naongea! 😂We mdada mbona hueleweki
Sipo serious in that way! Ila kati ya I niliopitia sehemu ya maongezi yao ni wenye maumivu sana...Huu muda unatoa wapi mkuu?? Unaweza kuta asilimia 50 ya uliowachunguza sio wanawake halisi bali ni wanaume. Usichukulie siriaz sana maisha ya mtandaoni inaweza ikakugharimu hata furaha yako
Okay! I do that till am gone!Tafuta pesa kijana
NakaziaHuu muda unatoa wapi mkuu?? Unaweza kuta asilimia 50 ya uliowachunguza sio wanawake halisi bali ni wanaume. Usichukulie siriaz sana maisha ya mtandaoni inaweza ikakugharimu hata furaha yako
Umeonaee sisi kina mama ngina haituhusuuu[emoji23][emoji23]Imekuwaje kwani [emoji23] ila nahisi sisi mashangazi haituhusu
Kweli! Ila naona ninyi shangazi ndio dara huru! Kwa hao chipukizi wenu!Imekuwaje kwani [emoji23] ila nahisi sisi mashangazi haituhusu
Mimi mwanaume Mkuu...Wote ni mademu hao au ulikua unataka umuone Bantu Lady na Aaliyyah ndio useme kweli!
Niliomba ufutwe ameni kwaza sana baada ya kunipa za uso🤣🤣Uzi wako wa mtongozo kwa Clepatina mbona siuoni???
[emoji23] na uzee huu kweli tuanze kukimbizana na mapenzi woiiiiUmeonaee sisi kina mama ngina haituhusuuu[emoji23][emoji23]
Pole yaoKweli! Ila naona ninyi shangazi ndio dara huru! Kwa hao chipukizi wenu!