Wanawake mnataka nini ili mtulie?

money sio kila kitu ila inaleta security kubwa sana maishani.. hapa sijaongelea pesa tu bali ni benefits ambayo anaipata kuwa nae.. unafikiri beckham ni mjinga kufanya maisha na victoria, au beyonce na jayz, adaeze na joseph yobo.. au diamond na zari..

kuna benefits nyingi sana zinakuja sabab ya huo uhusiano.. kuliko ukichagua cute cute asiye na benefits...

kuna watu wanastic na ma genious ili wasaidie their business,

watu wengi wana stic na watu fulani sabab ya outstanding benefits

Outstanding benefit unamaanisha hela
 
Hahahahahahaha, sawa baba! Ngoja tufuate nyayo...
 
Ts not always abt benefits bana,ts having a person with a similar lifestyle, km hao ulotaja wote wako kwenye entertainment industry
 
Usiombe uoe mwanamke ambaye umalaya uko kwenye damu hata ungekuwa na pesa kama Bill Gates na mtalimbo wa haja na nguvu za kupiga shoo Mara tatu Kwa siku kama dozi ya panadol atachepuka tu na ukimfumania atamtupia lawama shetani kama kawa.
 
Duuuh nyie acheni tu waliowaza kujenga nyumba heshima kwao nyumba zinamengi hizi msione watu wanapendeza wanabadilisha magari
wameongozana wanakenua mimeno kila mtu anawatamami lakin kuna mazito yamejificha wa nje uwezi kuyajua hata yaaani msiwe wepesi tu wakuhukumu
 
Hahahahaa wengi huwa wanakimbilia et alipitiwa na shetani, nyambafu kabisa
 
ATTENTION! Mume kila siku yuko busy, magari na pesa haziwezi kureplace kazi inayofanywa na mb*o a.k.a dick.
 
Mvishe pete ya uchumba,Mtoe out weekends,Mpeleke movies,Mshike kiuno ,Mpe dushe kila akitaka,mkitembea alafu ulete mrejesho kesho hapa!
 
 
Mwanamke ata umfanyie nini hawezi kujifklia kwamba ndio isiwe sabab ya kukusaliti...wao huwa wanahisi kuwa wanawashwa sana kuliko sisi wakiume
 
KAKA NI NGUMU SANA KUWAELEWA WANAWAKE WANACHORIDHIKA NACHO. HATA UFANYE NINI NI KAZI BURE KABISA! UTAFIKIRI MUNGU KAWAPUNGUZA UFAHAMU ILI WADANGANYIKE KIRAHISI. HAIJALISHI KIWANGO CHA ELIMU, HADHI AU WADHIFA. WOTE BURE KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…