tena hawa wa dot.com ati utaskia 'i luv men who can cook' kibongobongo hakunanga iyo go cook or go hone!!
Oooiii mbwembwee tuu za mjini. Mieeee akhaa nampenda a man who know to fight money,true love and gegedo la kunishbshaa... hizo kukuuuk sijui wapishi wapoo na mi mwenyewe naliweza na sijui eti nikiumwaa ntampa maelekezo hata akichemsha vyote sawaaa mradi viive....
mwanaume akipika unapata mzuka wa kumpa game anakuwa soo romantic
Its just too sweet. Longtime was travelling on my way back babes asked what can he cook for me so I eat when I arrive, I said and he cooked exactly. It was lovely
mimi napenda mwanaume anayejua kupika na akanisaidia lakini si kwamba asitafute hela aisee... lazima afanye vyote .. lakini muhimu pesa kwaanza
Nasikiaga ni raha, mwanaume akiwa anapika huku unamtekenya tekenya na kumpiga vibusu busu
Mwanaume anayejua kupika ana raha yake.......
Mradi tusishindanie jiko tu
mwanaume akipika unapata mzuka wa kumpa game anakuwa soo romantic
Msingefunguka aisee,mtawafanya wanaume wengine pia wajifunze kwaiyo sisi tunaojua tutakua hatuna soko,wengine hiyo ndo silaha yetu ya kuchukua pointi tatu