Wanawake mnapenda sehemu gani katika mwili wa mwanaume?

Tamati

JF-Expert Member
May 15, 2017
1,085
1,956
Naomba mtueleze kinagaubaga kabisa sehemu ambayo ukiiona au kuangalia katika mwili wa mwanaume hadi unapigwa shock ya muda mfupi au mrefu na kujenga hisia fulani kichwani mwenu na kwa muda huo ungetamani kumsemesha japo tu kwa kumsalimia lakini lengo lako likiwa ni kuvutiwa na jinsi alivyo kutokana na sehemu ambayo inakuvutia sana katika mwili wake
 
Back
Top Bottom