Wanawake huwa mnapeleka wapi pesa zenu?

Bobdizo Mohamed

New Member
Sep 5, 2019
1
1
Nimekaa nimewaza sana ivi wanawake pesa zenu mnanunuaga nini OK ngoja nitoe mfano kwamfano mwanamke ameolewa Na anafanya kazi Na anapata mshahara Lakini utakuta Hela ya kodi ya meza ni mwanaume mafuta kwenye gari ni mwanaume shopping ni mwanaume kila kitu ni mwanaume huwa mnanunua nini au mnafanyia nini pesa zenu
IMG-20190905-WA0040.jpeg
 
Kununua nguo, viatu na mapambo bila mpangilio.
Hivi sijui akili zao zipoje yaani unakuta mwanamke kabati la milango 3, begi kubwa 2 yamejaa minguo yake na nyingine wala hajawahi kuzivaa halikadhalika kwenye shelfu ya viatu tena ile ya ngazi 7 imejaa viatu vyake tu lakini still akiona nguo/viatu huko road yeye anaendelea kununua tu.

Tukija kwenye michango ya harusi sasa hapo hadi nina waoneaga huruma yaani unakuta mtu kila mwezi anaratiba ya kuchangia harusi, kitchen party, send off n.k.

Wengine pesa zao zinamalizika kwa babu bagamoyo kuroga madanga yao.
 
Nimekaa nimewaza sana ivi wanawake pesa zenu mnanunuaga nini OK ngoja nitoe mfano kwamfano mwanamke ameolewa Na anafanya kazi Na anapata mshahara Lakini utakuta Hela ya kodi ya meza ni mwanaume mafuta kwenye gari ni mwanaume shopping ni mwanaume kila kitu ni mwanaume huwa mnanunua nini au mnafanyia nini pesa zenuView attachment 1200058
Kwenye hiyo picha ulioweka mbona kila kitu kipo,Nywele,nyusi,hereni,kucha za bandia,rangi ya kucha,Lipstic,Eyelashes,ngozi,blouse,huo msosi,bila ya kusahau kuna vingine havionekani hapo,kutokea kiunoni kwenda chini,they are a bit complicated...
 
Nimekaa nimewaza sana ivi wanawake pesa zenu mnanunuaga nini OK ngoja nitoe mfano kwamfano mwanamke ameolewa Na anafanya kazi Na anapata mshahara Lakini utakuta Hela ya kodi ya meza ni mwanaume mafuta kwenye gari ni mwanaume shopping ni mwanaume kila kitu ni mwanaume huwa mnanunua nini au mnafanyia nini pesa zenuView attachment 1200058

Tunaweka akiba kwa ajili ya kukusaidia ukiyumba. Mwanamke asiyejua kuweka akiba ni mtihani.
 
Back
Top Bottom