jungle boy
Senior Member
- Aug 6, 2015
- 107
- 27
Mkuu perception yangu mimi iko hivi, kuna vitu vingi sana vinapita mpaka kufikia mtu kuchora tattoo. Ni lazima mtu awe associated na makundi ya watu wanaochora hayo majikitu ambao in realty huwa sio decent people. Pili ni lazima awe convinced na mtu, sasa kama kaweza kuwa convinced easily kuchora tattoo kiunoni atashindwaje kuchora makalioni kabisa kama wale wanawake wa movie za kiutu uzima? Kwangu mimi nataka ngozi iwe ngozi na kama ina alama yake ya asili iwe hiyo na kama ana kovu liwe hilo hayo makovu ya makusudi kwa jina la urembo mi hapana kwa kweli. Sitaki kuamini kama unakuwa stimulated na tattoo!
Mimi huo urembo unipite tu, nikiwaona wadada wenzangu wamevaa nahisi kutapika!
Na je zile wanazopanga nyiingi masikioni?
Hapana pia, navaa hereni moja kila sikio.
Mi napenda sana..wangu anazo sehemu zote..puani,masikioni,kwenye kope,kwenye ulimi,papuchi,kitovuni n.k
Aisee mimi ile cheni ya kiunoni nikionaga tu majeshi lazima yasalimu amri..
Tena iwe ile ya gold sio haya mabati.. Daaahh aise naweza salimisha hati za urithi teh teh
Kote huko kunipite tu...mie hereni zangu zatosha na vijipete vya kistaarabu nimemaliza.
Wewe nae sijui ukoje? Hapa tunaongelea vipini bhana...
Sio mbaya hata hivyo....
Vipini, sikio kujazwa hereni, pete kila kidole hayo mimi hata bia hupati..
Sasa we nifah haya mambo yangu huwa unatupiaga hata mara moja moja??