Itakuwa amekopeshwa na hapo ana stress za pesa ya kula leo.Habari za majukumu wana jf,
Leo Alfajiri, muda wa saa 11 hivi nikiwa ndani ya Hiece nikiwahi majukumu ya kuifukuza shilingi.
Kuna kituo kimoja alipanda dada mmoja, alikuwa mrembo si haba anavutia machoni ila tatizo lilikuja baada kuonekana katoka kulala kwa mwanaume maana kila kitu ni vuluvulu kuanzia nywele, usoni ndio usiseme utadhani alikuwa kalala na mrija wa pombe.
Kumbe kila mtu ndani ya gari alikuwa akimjadili kimyakimya maana alipoteremka tu kituo cha njiani kila mtu alikuwa anamjadili kivyake.
Naomba wanawake mnaolala shift mjitajidi kujipiga sopsop baada ya kumaliza majukumu ya kula tunda la mti wa uzima.
hahaha sasa kama alilala makaburini wakati anawahudumia wateja wa ngono inakuwaje hahahaha umenichekesha sanaHabari za majukumu wana jf,
Leo Alfajiri, muda wa saa 11 hivi nikiwa ndani ya Hiece nikiwahi majukumu ya kuifukuza shilingi.
Kuna kituo kimoja alipanda dada mmoja, alikuwa mrembo si haba anavutia machoni ila tatizo lilikuja baada kuonekana katoka kulala kwa mwanaume maana kila kitu ni vuluvulu kuanzia nywele, usoni ndio usiseme utadhani alikuwa kalala na mrija wa pombe.
Kumbe kila mtu ndani ya gari alikuwa akimjadili kimyakimya maana alipoteremka tu kituo cha njiani kila mtu alikuwa anamjadili kivyake.
Naomba wanawake mnaolala shift mjitajidi kujipiga sopsop baada ya kumaliza majukumu ya kula tunda la mti wa uzima.
Hapa jamaa amemwambia awahi kutoka room anashare na mshkaji, hataki ajue kuwa alikuwa na biashara usiku.saa 11 alfajiri....mhhhhhh....bila kukosea huyu ni muuza PAPA(PAP-UCHI)
hamna......na mabao ya alfajiri yanavokuwa matamu..!!!!!!!!!!...mwanaume gani atamwachia demu mapema yote hyo....Hapa jamaa amemwambia awahi kutoka room anashare na mshkaji, hataki ajue kuwa alikuwa na biashara usiku.
Mkuu labda mwanaume anaishi kwa rafiki, ameona heri nusu shari kuliko shari kamili.hamna......na mabao ya alfajiri yanavokuwa matamu..!!!!!!!!!!...mwanaume gani atamwachia demu mapema yote hyo....
maybe........weee hata niwe naishi geto kwa kaka'angu siwezi kuacha utamu....cha asubuhi kinanoga hakuna mfwano....huyo demu asilimia mia ni muuza PAPA maana wauza UCHI mishemishe zao ni usiku wa manane na alfajiri.....Mkuu labda mwanaume anaishi kwa rafiki, ameona heri nusu shari kuliko shari kamili.
machakoz.msema kweli ni mapenzi wa Mungu.Habari za majukumu wana jf,
Leo Alfajiri, muda wa saa 11 hivi nikiwa ndani ya Hiece nikiwahi majukumu ya kuifukuza shilingi.
Kuna kituo kimoja alipanda dada mmoja, alikuwa mrembo si haba anavutia machoni ila tatizo lilikuja baada kuonekana katoka kulala kwa mwanaume maana kila kitu ni vuluvulu kuanzia nywele, usoni ndio usiseme utadhani alikuwa kalala na mrija wa pombe.
Kumbe kila mtu ndani ya gari alikuwa akimjadili kimyakimya maana alipoteremka tu kituo cha njiani kila mtu alikuwa anamjadili kivyake.
Naomba wanawake mnaolala shift mjitajidi kujipiga sopsop baada ya kumaliza majukumu ya kula tunda la mti wa uzima.
Watu walikua wateja kwa muda mrefu, hivyo wanajua nani anauza nani hauzi.Akili za waswahili ni shida. Yaani wote kwenye daladala mkaanza msema mtu. Wewe unajuaje alikuwa na mwanaume? Au shida zake wazijua?? Ninyi pia wengi wenu mnauza sana sema masoko yako tofauti. Usafi kitu gani?
maisha yamebana hivi dogo anawaza ngono tu,..!!vijana wanaacha kufikiria how to solve their problemaaaa,,,, wanakuwa wadaku dakuzi....kila mtu na life style yake fara wewe....
Fara ni wewe usijua nyuma yako tena yawezekana akili zako ni ziro, kuna binadamu asiyejadiliwa hapa duniani? Ukiwa na mwonekano tofauti lazima watakujadili tu, sasa ww tembea uchi uone kama hurushwa hewani. Yaelekea hujui magazeti ya udaku kazi yake ni nini kilaza mkubwa weeeeevijana wanaacha kufikiria how to solve their problemaaaa,,,, wanakuwa wadaku dakuzi....kila mtu na life style yake fara wewe....
Watu wanakuhisi kutokana na mwonekano wako, wapo wanaonekana kubanwa na maisha na wapo wanaonekana wavuta unga na wapo wanaonekana kama huyo.maisha yamebana hivi dogo anawaza ngono tu,..!!
Wewe kwa kua hujitambui ungekuja kumuuliza, mimi sikutaka kutukanwa asubuhi yote hiyo nani anataka kuianza siku na stress, wewe ukikutana na mtu dizain hiyo wewe muulize yawezekana unajua jinsi ya kuwahoji watu wa type hiyoUimuuliza akakujibu anapotoka?au unabwabwaja tu