wanawake mnaoongea sana hovyoo

afu TF is a loyal customer
hata apande cheo awe ceo wa world bank
Mama muuza haniachi kuja kuniungisha

anapenda miguu ya kuku na utumbo huyo
na mataptap yake ya 200 anatoka hapa yuko chakari

Husn Husn jamani nimekumisooooo,TF anaendeleaje?maana nasikia jana kaonekana hoi anafakamia mataptap uwanja wa fisi manzese.
 
siku hizi ni uwazi na ukweli biashara za kuongea huku unang'ata majani zimepitwa na wakati,
 
Bora muongeaji utamjua mapema na kuangalia namna ya kumhandle na kukupelekea kufanya maamuzi sahihi,
Kuliko mkimya anayepritend na ukishamuweka ndani ndio anaanza kujiachia ndioa unaishia kujuta na inakuwa imekula kwako!!!
Hao wakimya ni utata mtupu,akikasirika hujui, kitu hajakipenda hujui,mwisho wa siku anakujibu kwa vitendo,utajuta!!
 
kwa kweli huwa wanaboa sana na ndo ukute mmetoka out wkend na washakaj wengine,kwenye meza pale yeye ndo anaongea kila kitu,mpk inakuwa kero keroro
 
Sawa tumekusikia mkaka na tutajifunza kua mwanake staha,pozi kidogo,huongei kama cherahani,uwache mengine yakupite, watu wakiongea yao wewe lako jicho tu hasa ukiwa nalo uwe unaangalie kama hutaki na makash kash tele......
 
afu TF is a loyal customer
hata apande cheo awe ceo wa world bank
Mama muuza haniachi kuja kuniungisha

anapenda miguu ya kuku na utumbo huyo
na mataptap yake ya 200 anatoka hapa yuko chakari
Kongosho kwa haraka haraka haya maneno uliyoandika yanafika 100 ingekuwa unaongea yangekuwa maneno 800 kwa sekunde moja...:eyebrows:
 
Bora muongeaji utamjua mapema na kuangalia namna ya kumhandle na kukupelekea kufanya maamuzi sahihi,
Kuliko mkimya anayepritend na ukishamuweka ndani ndio anaanza kujiachia ndioa unaishia kujuta na inakuwa imekula kwako!!!
Hao wakimya ni utata mtupu,akikasirika hujui, kitu hajakipenda hujui,mwisho wa siku anakujibu kwa vitendo,utajuta!!

Kwani analijua hili?? Mwenyewe kapishana na mdada kwenye arguiments basi ndo kaamua kuweka sababu!!
 
Piga chini aise coz topic zikiisha litaropoka hadi jinsi linavyofanywaga.SIO KWENU TU HATA KWETU WAPO.
 
Piga chini aise coz topic zikiisha litaropoka hadi jinsi linavyofanywaga.SIO KWENU TU HATA KWETU WAPO.We demu gani likianza halimalizi tupa kule.
 
Kuna mdada nadhani she is 30 or above, anapenda kuolewa lakini bado hajapata right candidate. Lakini nilimsoma nikajua kwa nini bado yupo yupo sana.

Mara nyingi tunakuwa na eligible bachelors yeye mazungumzo yake ooh, mama ananiuliza kila siku kwa nini siolewei; mara ooh yule alikuwa boyfriend wangu zamani. Toka kaanza kusema yule alikuwa boyfriend wangu zamani wameshafika kama sita afu anaongea mbele ya hao mabachelor, nani atataka kukuoa wakati unaongelea kuwa ulishachukuliwa na big names in town kama sifa vile.

Silence ni silaha tosha ya kupagawisha hawa majamaa. Let them do the talking wewe unajibu unapoulizwa; unless kama huko na washkaji wa kila siku ulowazoea.
:juggle:
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom