wanawake mnaoongea sana hovyoo

Hilo nalo neno. Mada imesomeka. Yani mtu unatakiwa uwe unapiga mahesabu cha kuongea kutokana na adhara. Sio unaleta story za egoli temeke ambako majority hawana TV (am jocking).

Kuna dada fulani nilikutana nae kwa shem wangu ni rafiki wa girlfriend wa shem wangu nlichoka. Watu wanapiga story za maana yeye kakazana kutunyamazisha tusikilize mziki wa kalamu na karatasi (bongo fleva), tena anaongeza sauti kabisa eti huu mziki mzuri sana. Bado anachomekea story zake ambazo haziendani kabisa na wadau waliomzunguka, wanampotezea yeye haisomi tu. Njiani hubby akananiuliza yule binti kichwa yake iko sawa kweli?

Hamna kitu kizuri kama kutokubwabwaja unapokutana na watu usowajua. Watakudharau bureee. Because you will never know what to say and how to say it. Mi kama watu siwajuhi kwa kweli nakuwa bubu it is safe that way.
 
Si haiba nzuri kwa mtoto wa kike kupayuka payuka mbele za wanaume kama kasuku. Wakwe zako wakikuona lzm wafanye tambiko, mwanamke gani mdomo haufungi kama mpiga debe, khaa!
 
Aongeze maelezo sio aishie kusema sio tuonge kwa nukta sijui koma.Mara tusiongee sana.Kwanini tusiongee wakati tuna ya kuongea na waliotozunguka wanapenda kutusikiliza na sisi tunapenda kuwasikilza wao?

Kumbe wanapenda kukusikiliza hapo utakuwa unaongea kwa stara..

Kuna wale ambao wanaongea sana halafu hakuna hata anaye wasikiliza ..hapo sasa..
 
Kumbe wanapenda kukusikiliza hapo utakuwa unaongea kwa stara..

Kuna wale ambao wanaongea sana halafu hakuna hata anaye wasikiliza ..hapo sasa..
Maongezi kusikilizana na sio kutaka usikilizwe kama mtoa mada anaetaka wengine wapunguze maneno ili ye aongeze yake.
 
Mmmmh. . . we jifagilie tu ila habari ndio hiyo.Waoga kama swala aliyemuona simba.

unacheza wewe,hivi hujui through PM siku hizi mtu anaweza kupata mimba?shauri lako nitaku PM!!!!!!!
 
Mwanamke mwongeaji saizi yake mwanamme si vivulana.

Ndo mana wanaosema umri hauhu kwenye mahusiano wajipange, mnaweza kuwa mnapanga vission ya familia mwenzio akaona unabwabwaja.


Si haiba nzuri kwa mtoto wa kike kupayuka payuka mbele za wanaume kama kasuku. Wakwe zako wakikuona lzm wafanye tambiko, mwanamke gani mdomo haufungi kama mpiga debe, khaa!
 
Back
Top Bottom