MKALI W MAMBO
Senior Member
- Aug 9, 2018
- 190
- 136
Kamainawezekana kuna mengi zaidi ya kunywimwa tendo la ndoa.
Kwa niniJamaa matumizi yako ya H kiboko asee.
tatizo kuna trend ya celibacy siku hiz..kila mdada anajikuta celibate ..hii ni kwa wasio na ndoa lakin...unazungumziajeUnaunga mkono huyo jamaa kumuua mkewe kisa kanyimwa tamu??
Lazima mjue kuwa tumeumbwa tofauti hakuna mfanano katika hisia wa tamaa za ngono kati yetu na nyie
Kukubali kuolewa haimaanishi kila siku nikupe
Ni haki yako ndio lkn hilo limeandikwa ilo tu mwenza husika kujisikia ni sehemu ya mwili wa mwenza wake lakini haiondoi kuwa mke ana mwili wake na mume nae ana mwili wake
Chezeni na akili zetu nyege zetu zinatafutwa kwa kauli tamu sio km nyie ni vuu paa kitu tayari kimeenda wima
Jifunzeni kuturidhisha vinginevyo mtajiua na kunyongwa kwa sana tu
Hizo celibate ziandike kiswahili tafadhalitatizo kuna trend ya celibacy siku hiz..kila mdada anajikuta celibate ..hii ni kwa wasio na ndoa lakin...unazungumziaje
Mnasahau majukumu ya nyumbani?Hii mara nyingi unakuta mke ana mchepuko nje alafu akifika ndan basi full kalenda unyumba.Siungi mkono jamaa alichofanya ila pia siwezi mlaumu kwa maana uchungu wa mapenzi usipoweza dhibiti moyo unaweza fanya ukatili hadi shetani akazirai kwa mshtuko.
Tatizo hornet wanawake hamuwi wakweli kwenye sex pale.hutosheki mchallenge mumeo nishike hapa nishike pale.sasa nyie mtu hakuridhishi badala ya umwambie ili mu improve unaenda chepuka nje.Mnasahau majukumu ya nyumbani?
Malezi ya watoto hapo ukute mchana baba aliacha pesa haitoshelezi
Mama ana madeni VICOBA,
Mwanaume hamkojozi wala hamnyegeshi hiyo hamu inatoka wapi?
Kuna muda mwanamke hajisikii kufanya mapenzi kama na nyinyi mnavyokuwa muda mwingine hamjisikii
Nadhani heshima ni muhimu zaidi...
Hivi unazungumzia hawa wanaume ukimuona kucheka ujue anaongea na jiraniTatizo hornet wanawake hamuwi wakweli kwenye sex pale.hutosheki mchallenge mumeo nishike hapa nishike pale.sasa nyie mtu hakuridhishi badala ya umwambie ili mu improve unaenda chepuka nje.
Trust kukiwa na good communication pale paradiso ndoa itadumu na kila mmoja ataridhika.
Issue za kulea familia wanaume mara nyingi huwa sio wakutegea kabsa