Wanawake mnaochepuka kuweni makini.


Just to put records clear, mdada aliyeuliwa na Mume wake na kuchomwa na gunia mbili za mkaa chanzo si mwanamke alichepuka Bali ni mwanaume alikuwa anachepuka.
Baada ya mke wake kugundua ugomvi wa hapa na pale mauti yakamkuta.
Mume wake alidhibitisha hilo.

Asante kwa kutushauri ila na nyie muache kuchepuka. Yaani mnachepuka na bado tukiwakamata inakuwa kosa jamani?
 
Kuchepuka ni dhambi,ni jambo linaloumiza sana,maumivu ya hili jambo huleta hasira isio kifani,hasira hupelekea kisasi,kisasi huleta ugomvi na ugomvi huu ndio hufikia kwenye kuuana,omba Mungu akuepushe jambo hili lisikutokee kwenye maisha yako kwani yawezekana wewe unae laani wenzako wanaoua ukaja kuua wewe mwenyewe.Kwa wanandoa ushauri ni kumshika Mungu kwani ndio suluhu,vinginevyo unaweza ingia majaribuni ukasema nafanya mara moja na hiyo mara moja yako ikakuletea balaa la kufumaniwa...
 
Endelea kuweka ununda
 
hakuna muda wa kuandika andika ni gunia mbili za mkaa biashara ahera.
Ha ha ha mkuu hamna njia nyingine kweli?
Watoto wako hapo itakuwaje?
Wazazi wako, ndugu, marafiki na jamaa wanaokupenda nao unawaachaje namna hiyo?
 
Tumekuelewa mkuu!
 
kama la Daniel......
 
Okay okay.... Lakini na wanaume wawe makini Pia sikuhizi wanawake hatuna huruma ni vile ukitusumbua tunakuuwa taratibu yaani watu hawajui kama umeuwawa ila ndo ushakufa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…