Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

Habari,

Nachukua fursa hii kuwatahadharisha wanawake wanaochepuka wapunguze kujiamini kulikopitiliza kuwa hata wakifumaniwa hakuna kitakachotokea.

Kwa matukio ya sasa hivi na visasi inaonekana wanaume wameingiwa na roho za kikatili na kishetani.
Matukio kama....

1. Gunia 2 za mkaa huko Kigamboni

Just to put records clear, mdada aliyeuliwa na Mume wake na kuchomwa na gunia mbili za mkaa chanzo si mwanamke alichepuka Bali ni mwanaume alikuwa anachepuka.
Baada ya mke wake kugundua ugomvi wa hapa na pale mauti yakamkuta.
Mume wake alidhibitisha hilo.

Asante kwa kutushauri ila na nyie muache kuchepuka. Yaani mnachepuka na bado tukiwakamata inakuwa kosa jamani?
 
Kuchepuka ni dhambi,ni jambo linaloumiza sana,maumivu ya hili jambo huleta hasira isio kifani,hasira hupelekea kisasi,kisasi huleta ugomvi na ugomvi huu ndio hufikia kwenye kuuana,omba Mungu akuepushe jambo hili lisikutokee kwenye maisha yako kwani yawezekana wewe unae laani wenzako wanaoua ukaja kuua wewe mwenyewe.Kwa wanandoa ushauri ni kumshika Mungu kwani ndio suluhu,vinginevyo unaweza ingia majaribuni ukasema nafanya mara moja na hiyo mara moja yako ikakuletea balaa la kufumaniwa...
 
Just to put records clear, mdada aliyeuwawa na Mume wake na kuchomwa na gunia mbili za mkaa chanzo si mwanamke alichepuka Bali ni mwanaume alikuwa anachepuka.
Baada ya mke wake kugundua ugomvi wa hapa na pale mauti yakamkuta.
Mume wake alidhibitisha hilo.

Asante kwa kutushauri ila na nyie muache kuchepuka. Yaani mnachepuka na bado tukiwakamata inakuwa kosa jamani?
Endelea kuweka ununda
 
hakuna muda wa kuandika andika ni gunia mbili za mkaa biashara ahera.
Ha ha ha mkuu hamna njia nyingine kweli?
Watoto wako hapo itakuwaje?
Wazazi wako, ndugu, marafiki na jamaa wanaokupenda nao unawaachaje namna hiyo?
 
Habari,

Nachukua fursa hii kuwatahadharisha wanawake wanaochepuka wapunguze kujiamini kulikopitiliza kuwa hata wakifumaniwa hakuna kitakachotokea.

Kwa matukio ya sasa hivi na visasi inaonekana wanaume wameingiwa na roho za kikatili na kishetani.
Matukio kama....

1. Gunia 2 za mkaa huko Kigamboni

2. Yule dogo wa pwani kumchoma kisu mwanamke wake.
3. Yule jamaa wa musoma kucharanga mke na watoto
4. Kuna tukio la jamaa aliyechinja mke
5. Kuna huyu mwamba hapa chini aliyekula miaka miwili kwa kuua bila kukusudia nk.

Hivi Ina maana sasa hivi wanaume hawataki kutoa talaka tena?

Kama wahanga ni watoto, hapa mbona watoto wanabakia yatima duniani.

Wachepukaji muwe makini sana, yaani extra careful na wanaume mzikatae hizo roho za mauti maana mwisho wa siku ni watoto ndiyo wanataabika zaidi.
Tumekuelewa mkuu!
 
Kuchepuka ni dhambi,ni jambo linaloumiza sana,maumivu ya hili jambo huleta hasira isio kifani,hasira hupelekea kisasi,kisasi huleta ugomvi na ugomvi huu ndio hufikia kwenye kuuana,omba Mungu akuepushe jambo hili lisikutokee kwenye maisha yako kwani yawezekana wewe unae laani wenzako wanoua ukaja kuua wewe mwenyewe.Kwa wanandoa ushauri ni kumshika Mungu kwani ndio suluhu,vinginevyo unaweza ingia majaribuni ukasema nafanya mara moja na hiyo mara moja yako ikakuletea balaa la kufumaniwa...
kama la Daniel......
 
Hamna haki, nimetoa tahadhari upande mmoja kwasababu naona vitendo vya kikatili vimeelekezwa upande mmoja na bahati mbaya huo upande nao umejisahau kwenye kujiprotect (kujiamini kumekuwa mwingi sana)

Just be careful, possible waliokuzunguka wanakuhitaji zaidi kuliko huyo unayemsaliti.
Okay okay.... Lakini na wanaume wawe makini Pia sikuhizi wanawake hatuna huruma ni vile ukitusumbua tunakuuwa taratibu yaani watu hawajui kama umeuwawa ila ndo ushakufa hivyo
 
Back
Top Bottom