Bora kiondolewe tu vinginevyo kiwekwe mwanzoni kabisa mwa mwakaHahah hio motisha tu, barganing itakuwa ni kuondoa huo mfumo kabisa
By mwanzoni namaanisha mwanzoni kabisa mara baada birthday nyingine kupita, sio imebaki miezi miwili ifike ndio unaniletea huo ujinga na mimi nitakukomoa hadi zifike dola 10000 ndani ya mwezi dadekKuna nini mwanzoni mwa mwaka
Kazi ya nini sijakusomaWe hufanyi kazi kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23] ukimaanishajeShughuli yani, au bado uko skonga?
Ni kulipia huduma au?
Haha swali nimeelewa ila nataka kujua sababu ya kuulizaWe mgeni au, una kazi??? Are you employed or not?
Sina kazi bebeSababu ninataka kuwa informed tu