Natumai muwazima wa afya tele wananzengo.
Leo napenda kuwakumbusha kidogo wanawake walio katika ndoa. Wanawake wengi walio katika ndoa wakikosewa/kukosana na wenza wao mara nyingi hulipiza kisasi kwa kuwanyima papuchi.
Kwa hili mnakosea sana coz ni ngumu sana kuyaishi maisha ya ndoa bila kukosana hivo kupitia uzi huu acheni mara1 tabia hiyo.