Wanawake Mnajua Hili.?

Wanawake Mnajua Hili.?

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
MAUMBILE YA TOTOZ NA TABIA ZAO
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.
2. Warefu hawawajali wapenzi wao na hawaogopi uhusiano kuvunjia kifupi hawajui kubembeleza hata kdogo.
3. Wenye dimpoz. Mianya. Matege. Kithembe na hipsi kubwa, hawa siyo waaminifu katika mapenzi.
4. Wanene wana mapenzi ya kweli, yaani akipenda amependa kweli.
5. Wembamba ni wabishi na wanaongoza kwa kutendwa mno na wapenzi wao.
6. Wenye ngozi nyeusi wana roho nyepesi hata kuweza kutoa mimba ikibidi, na wanapenda wanaume warefu na weupe.
7. Weupe wanaongoza kwa kuzalia nyumbani, na wengi wao huolewa wakiwa na watoto tayari.
 
Ngoja waje kuthibitisha wenyewe.........kikubwa wasipanic tu
 
Umenena kweli wanene wanajua kupenda ila warefu pasua kichwa
 
Back
Top Bottom