Wanawake mnageuka chuma ulete

Hakika kaka yani ukipendeza kidogo basi wanajua pesa zipo, nishawahi ombwa laki 3 na mdada amlipie mdogo wake ada hadi nikashangaa huyu dada mie kaniona napesa nyingi sana eeeh, nikasema sina kwa sasa nimeingiza kwenye biashara zangu.
Hapo imepita kama week kadhaa aliomba nimlipie LuKu, nikamsaidia coz ilikuwa ndo mara yake ya kwanza ,heeee kumbe ndio tabia yake bwanaa ,siku nyingine kaniomba 20k nikasema sina NDIO IKAWA MWISHO WA KUONA STATUS ZAKE namie nikakaa kama miezi kadhaa nikafuta namba zake. Mbaya zaidi akawa anamsimulia Bf wake kuwa mie ndio kidume namsaidia yeye afu bf hamsaidii, jamaa yake siku akaniuliza nikakubal since then sikutaka hata kumsikia angeniharibia kwa mwanangu damu sana
 
Halima noma akampakazia na kifo kabisa kaka wa watu
 
Tatizo unamiliki timu nzima ya manzi, ndo sababu unalia lia!
Wahenga walisema 'Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba..'.
We fanya kutulia na mmoja, utanishukuru baadaye!
Mkuu huwajui hawa viumbe, wakiona kuna dalili ya pesa namba yako wataipata tu bila hata kukuliza na utategwa kwa kila namna kiasi kwamba kama ni mwanaume lijali sio rahisi kuchomoka
 
Mkuu umefanya jambo zuri kuto wa-entertain hawo malaya kwani ukicheka na nyani utaishia kuvuna mabua. Misichana ya siku hz ipo kimaslahi zaidi, mipuuzi kweli!
 
Kuna muda huwa hadi nakaa nacheka mwenyewe

Unakuta labda nilikuwa busy na kazi ile baadae kuja kucheki simu nakuta sms tatu tofauti zote zinaomba hela mara huyu 30,000 mara huyu 10000 mara yule 15,000

uKija kupiga mahesabu kwa kila mwezi napoteza zaidi ya 100,000 kwa hawa chuma ulete,hii pesa ningekuwa naitunza kwa mwaka ningekuwa na 1 mil,ningekuwa hata naweza kujenga tararibu
 
Mbali ya hiyo circle yako ya walalahoi kuna nyingine yenyw manufaa kwamo.?
 
Kuna wadangaji na washamba wa mapenzi watakuja kukuponda hapa wao wanachojua kumpa hela mwanamke ndio ugentleman au uanamme. Wakina dada kama mnauza uchi kuweni direct pale pale unapotongozwa on the spot sema unauza uchi mkubaliane bei muende geto kuonesha maajabu yako mshkaji akifurahishwa na huduma yako atakutafuta siku nyingine atapokuhitaji sio huu ujinga wa kubebeshana majukumu ya wazazi wenu.
 
Mkuu hutakiwi kuwa na marafiki wengi wa kike.kwanza mnawakutaga wapi na mnaanzaje
Mwanamke mmoja tu anakuchuna mpaka akili zinakutoka, sembuse uwe na wengi! Hawa viumbe wanatafuna zaidi ya viwavi jeshi.
 
Tatizo unamiliki timu nzima ya manzi, ndo sababu unalia lia!
Wahenga walisema 'Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba..'.
We fanya kutulia na mmoja, utanishukuru baadaye!
Bonge ya ushauri aiseee!!
 
Mkuu huwajui hawa viumbe, wakiona kuna dalili ya pesa namba yako wataipata tu bila hata kukuliza na utategwa kwa kila namna kiasi kwamba kama ni mwanaume lijali sio rahisi kuchomoka
Kweliii kabisaa wako kimaslahi zaid na hawana kitu ya ku offer zaidi ya nyapu
 
Mkuu umefanya jambo zuri kuto wa-entertain hawo malaya kwani ukicheka na nyani utaishia kuvuna mabua. Misichana ya siku hz ipo kimaslahi zaidi, mipuuzi kweli!
Asante kaka kweli kabisa japo kuna miamba naona inawatetea hao ombaomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…