Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,845
Pesa ni yako ukiamua uwape au usiwape maamuzi ni yako tatizo sijajua ume elewa vipi?.Nani kasema anateseka mkuu, unadhan kila mtu anakula kwa kumwaga mijasho na kutoa damu kama wewe.
Nyie ndio washamba wa mapenzi ambao mkipata pesa mnawaza kuwacheki wadada walokukataa.
Hii kama injili , take it or leave it, inaowahusu wataokoka.
Poaa usiondoke mkuuPesa ni yako ukiamua uwape au usiwape maamuzi ni yako tatizo sijajua ume elewa vipi?.
Ukiwapa halafu unalalamika umeamua kuteseka narudia tena. Endelea kuteseka
Usipo wapa pia maamuzi ni yako umeamua kuto teseka.
Mimi sina kazi kwahiyo sizitafuti kwa jasho na damu kama ulivyo sema nakula ugari wa mama na siondoki.
Hapo hakuna hata mmoja nliowahi kutana nae njian nikaomba namba ,wote wako kwenye mzunguko wangu wa maisha ya kila sikuUna nyota ya vibomu.
Ila ukiwa mtu wa kuokota namba hovyo vibomu vitakuandama.
Miaka ya nyuma kidogo nilipanda na demu kwenye daladala wakati ule stand ipo pale Ubungo Tanesco. Jioni nampigia kumsalimia kikaanza kibomu cha gesi mara kikaja cha kodi ya nyumba.
Nikafuta namba yake na mpaka leo siokotezi namba hovyo.
Una nyota ya vibomu.
Ila ukiwa mtu wa kuokota namba hovyo vibomu vitakuandama.
Miaka ya nyuma kidogo nilipanda na demu kwenye daladala wakati ule stand ipo pale Ubungo Tanesco. Jioni nampigia kumsalimia kikaanza kibomu cha gesi mara kikaja cha kodi ya nyumba.
Nikafuta namba yake na mpaka leo siokotezi namba hovyo.
Tatizo wanaomba wengi, wengie ni mademu wa mashkaji zako huwez kuwalaSuuza rungu ndio uwasaidie mkuu. Pelekea moto mademu hao 5k tu hawana gharama hao
Mzee baba mbususu inakuja kwa 5k unaikataa!!
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi
Ahahhaha sawa mama D ila muache hii tabiaNdio maana yake
Wewe chuma ulete
"If you think your money is more precious than women", plz just leave them and go on with your life minus them.
Wewe wa wapi mkuu. Hakunaga mademu watamu kama mademu wa washikaji zako au wake za marafiki zakoTatizo wanaomba wengi, wengie ni mademu wa mashkaji zako huwez kuwala
Hata wakiomba wengi kwa 5k ain't a big dealTatizo wanaomba wengi, wengie ni mademu wa mashkaji zako huwez kuwala
Ahahhaha sawa mama D ila muache hii tabia
Ingekuwa mimi nachagua kati yao pisi zangu kadhaa hapo nawafanya makoloni yangu muda wowote nikijisikia kunyandua nampigia simu naichakataNdio maana yake
Wewe chuma ulete
Shukrani kwanini niteseke na mama yupoPoaa usiondoke mkuu
Ingekuwa mimi nachagua kati yao pisi zangu kadhaa hapo nawafanya makoloni yangu muda wowote nikijisikia kunyandua nampigia simu naichakata
Pisi ipi hiyo tena ya 10k inanyimwa?Kwa Pisi moja tuu mmeombwa efu10 inawatoa jasho, sembuse hizo pisi kadhaa🙄🙄
ahahahha kweli bro kwa mama kutamu sana ila jipange nawe uje kuwa na kwako, wanawo waje wajivunie kwa mzee waoShukrani kwanini niteseke na mama yupo
Sema endelea kuwakazia ukilegeza tu umeumia hawana jema hao huwezi fanya maendeleo.
kaka siwez kula manzi wa jamaa zangu nikiwa na utimamu. NEVERWewe wa wapi mkuu. Hakunaga mademu watamu kama mademu wa washikaji zako au wake za marafiki zako
Wewe haujawahi kumpelekea moto mke au demu wa jamaa yako halafu katikati ya mchezo demu kakolea anaanza kumtukana bwana wake ambaye wewe ni mshikaji wakekaka siwez kula manzi wa jamaa zangu nikiwa na utimamu. NEVER
anyway unaweza kuwa unasema hvo hujakutana na situation kama hio , juzi hadi leo nimeshaombwa hela na watu 3 , juzi mmoja , jana na leo. Imagine hii trend ikiendela kwa muda huoni nitapoteza pesa nyingi sana, worse enough sio mademu zangu na sina nia ya kuwafanya wawe, kwanini sasa niwahangaikie?? Nikupee namba zao uwatumie hizo 5k??Hata wakiomba wengi kwa 5k ain't a big deal