Wanawake mna roho ngumu asee

Daaah mkuu miaka 3 tatu yote katika mahusiano mkuu, ulikua unachunguza nn Sasa kwa muda wote huo, nahisi aliona Kama unampotezea muda, maana wadada wanapenda ndoa Sana , kwa kipindi chote hicho Cha mahusiano akitokea mutu sirias wa ndoa lazima akukimbie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulifanya makosa ww mwenyewe inaonekana huyo binti aliona unampotezea mda uwezi ukaa kipindi chote cha miaka mitatu na mtoto wa watu kwani lau ungetaka kumuowa tangu mwaka wa kwanza angekukataa

Acheni Uzungu jamani ukiona mbuzi kaelekea Kibra busara ni kumchinja tu na sio kusubiri jirani aje akuchinjie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha sikuwa na kazi, ndio nilikuwa nimetoka chuo natafuta kazi
 
Ila namshukuru MUNGU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…