Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Hata Mimi ndo ivyoivyo japo sio duniani kote, ila mtaani kwetu, kazini, nk....haaah
 
Reactions: MC7
Hahah... Ila wana mvuto

Hebu elezea vizuri aina za.mvuto unaouona hapo. Maana sisi wanaume si rahisi kuona mvuto wa mwanaume mwenzio. Lakini wanawake huwa wako concerned na mvuto wa wanawake wenzao na sijui huwa wanauonaje maana mvuto ni hisia. Ndiyo maana utakuta wanawake wanashangaa yule msichana ana bahati na wanaume lakini wala siyo mzuri. Hii ni kwasababu hamuwezi kuwa na hisia kama tulizonazo wanaume. Msichana kuwa mzuri ni jambo tofauti na kuwa na mvuto. Hilo.wanwake wengi huwa hawalielewi na mara nyingi.mmekuwa mkishughulika na mambo makubwa kuonekana na mvuto kwa wanaume. mwanaume aweza kumpenda mwanamke.kwa kitu kidogo tu. Ina maana hata usipohangaika mwanaume akukupenda anakupenda tu.
 
john dumelo he is good inside out. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]mi mwenyewe hapo nna crush nae... aseee Mungu nipe kama huyu lols
 
Unawezaje kujua tabia ya mtu wakati hujaishi nae
Tumewaona kwenye tamthilia.. Tabia/behavior ya kiume huna haja ya kuishi na mtu siku nyingi sana ili uione,ts js there..
 
Kwenye marichui alikua anaitwa Juan Miguel San Roman,kasababisha mpk ndoa jlo na Marc Anthony ife
Ndoa ya jlo na marc Anthony ili vunjwa na dancer wakiume wa jlo na sio levy..
 
Kumbe tunaopendwa tupo wengi..mi nashangaa kwanini napendwa sana na akiana dada hususan akina mama ntilie?....labda cjui kwa kuwa nina muonekano flani hivi,yaani mpaka kero.
 
Ole wako ungenitaja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…