Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Jamani sweetie..mbona unepanic..Najuaa Ni Mdada..sorry to offend you..usiwe too emotional... JF kuna matani sana la sivyo utakimbia mchana kweupe. We ukisoma iyo post yangu Ni kama nipo serious? Come one baby girl..just come down..usiwe ivyoo..Haya chukua soda kwa Mango ntakuja kulipa.Hope umenisamehe.
 
Hamna nimejaribu tu kujielezea ili mwingine akisoma pia aelewe... ujue jinsi utakavyoniongelea mimi ndio watu humu watakavyonichukulia...JF naifahamu vizuri tangu muda japo sikuwa nimejiunga. Peace and love SweetApple wangu [emoji182]
 
Couldn't agree more doll

#littlethingsmatterthemost#
 
Reactions: kui
Watu wa hivi mnapataga mabinti wapoleeee. Wewe ukipata mkorofi zaidi yako utasurrender ndani ya siku. Ni nini source ya hasira zako? inabidi ujue na utafute tiba yake aisee, utakuja kuua siku
Yaani nna quick reaction kama mtu akinikera....mfano kuna siku nlipanda daladala nlikua na mawazo sana siku hyo konda akanirudishia nauli nkasahau kama amenirudishia chenji nkamdai akawa hataki anantukana nlivyoshuka tulipasuana kinomaaa maaana alikua kipande cha mtu, gari ikasepa nkabaki mwenyewe kujicheki mfukoni nkakuta nnayo chenji nlicheka sanaa
 
Punguza hasira na usi entertain hiyo hali. Itakupeleka pabaya
 
Labda kukaa kimya hawezii,na kuna mmoja alikuaga anasema hakupendi anakuchukia kwelu lakin sasa hiviii namuona kakaa mguu pandee eti umekua handsome humu kuna vitukoo
Baada ya ile maada ya perfume Ngabu kawa HB acha tu vituko vya humu
 
Baada ya ile maada ya perfume Ngabu kawa HB acha tu vituko vya humu

Hahaaaa but I've always been good looking. Some call me a panty melter...others call me Mr. Galz Dem Sugar.

Never had a woman problem in my life.
 
...Uhusiano wa wanawake kupenda wanamme wenye maumbo ya kuvutia nadhani huwa wanatarajia vitu adimu sana...lkn trust me wengi huwa wanaishia kuwa disappointed ...maana huwa hawakuti walivyovitarajia kuvipata kwa muhusika.Bali pia huwa wanakuwa surprised na wanamme ambao hawana mvuto sana..hukutana pia na shughuli wanayoipenda
 
yani unaweza ukanikuta nasmile tu peke yangu, kumbe ni mkaka kapita kakunja shati vizuriiiiii (ila inategemea na size, sio mtu anavaa shati 6 metres eti na yeye analikunja akhuuuuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Vishati vimodo kukunja ndo mwake,mwake.
 
Le Kung Fu Panda.........
Teh teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Kwi kwi kwi...Uuuuwi! Watu hamna huruma na mbavu zetu, Khaaa!
 
Kumbe! Basi hiyo ndiyo sababu kubwa, maana ukweli ni kuwa wadada wengi na mashoga ni 'damdam'...!!!
 
Yaani usiulize makofi polis,hata km nikikutana na msweet kavaa hvyo lazima nimgeukie nimwangalie mara ya pili,sijui kwa nn wallah.ila siyo siri wanapendeza
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 

Hahahaha weee acha uchokozii bana,jf tamu bana spid lazima iwepoo
 

Sweeeerr nadhani anatania tu,usichukulie serious
 
Kumbe! Basi hiyo ndiyo sababu kubwa, maana ukweli ni kuwa wadada wengi na mashoga ni 'damdam'...!!!
Alikua ameigiza kama shoga sina uhakika kuhusu katika real life kama ni kweli yupo hivyo au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…