Ndio wajiongeze tuache kuvutiwa na wa nje....sio kwamba tunapenda ila ndio hvyo wale nao Swagger zimezidi, unakuta mtu yuko smart kuanzia mavazi had brain [emoji7], hatari tupu mjini hapa
Aah nyumbani zaidi bana lol. Ukisema wawe romantic utaambiwa wewe mfilipino, tamthilia zimekuharibuTeh teh!, wa nyumbani tena, nyie ndo wenyewe. Lakini jiongezeni kidogo kuwa romantic. Mta pass kila kitu. 🙂
Heaven Sent na Sweetiepie what says you about this.
Hahahaha kha!!Aah nyumbani zaidi bana lol. Ukisema wawe romantic utaambiwa wewe mfilipino, tamthilia zimekuharibu
Aah nyumbani zaidi bana lol. Ukisema wawe romantic utaambiwa wewe mfilipino, tamthilia zimekuharibu
Hahahaha Kui bwanaaHeheh, ni kweli go east go west home is the best. (A SHOUT OUT TO MY TZ BROTHERS)!
Kuongezea nakosema ni kama icing on the cake. Tayari wako vizuri, lakini wakiongeza hiyo watakuwa vizuri zaidi. Wawe natural tu, sio ufilipino.
Mmh unachekaaa hahahHahahaha kha!!
You mean wawe kama Benny lol. Wakaka wetu wapo amazing mnooo, basi tuHeheh, ni kweli go east go west home is the best. (A SHOUT OUT TO MY TZ BROTHERS)!
Kuongezea nakosema ni kama icing on the cake. Tayari wako vizuri, lakini wakiongeza hiyo watakuwa vizuri zaidi. Wawe natural tu, sio ufilipino.
Kwa nini umeiba jina languuuuu??Hahahaha kha!!
Weeee type ya benny wawe wachache buana, wakiwa wengi watanichanganya sana akili kwenye kuchagua lolZactly, wawe kama bwana shem...lol
Aaah mkuu...Sweetapple na Sweetiepie hivi ni kitu kimoja kweli?! Kwanza had nasajili hilo jina Sikuambiwa kwamba kuna user humu analitumia maana ndugu mimi humu ni mgeni hata wiki Sijafikisha. Angalia vizur tena basi. Kama umelipenda langu niambie tubadilishane maana nahisi umetokea kulipenda sana[emoji23]Kwa nini umeiba jina languuuuu??
Kajitu hata sikajui na hakanijui. Sijawahi hata kukatongoza [kwanza hata sitongozagi mimi]. Halafu eti hakanipendi...nani anataka kupendwa na nzi?
Hahahaah...utani Wa ngumi huo mkUuHapo kwenye list muongeze na Le mutuz
Nampenda Willy Levy mimi jamani uuuuwiiiiii!!!
Mkuu umemsahau na mtu mmoja mtanzania anaitwa DAXX CRUZ Ni model yupo south Africa
Mwingine ni Diamondplatnumz.....licha la umbile lake dogo lakini wadada wengi wanamzimikia saaaana
Unajua nini kuna MTU aliuliza VP mbona unapost vile?? Sasa si kujua ulipost nini Na Mimi sikuwa JF kidogo nikabisha ....nimegundua.Ni Wewe kumbe uliniletea Shida kidogo...Sasa Na wewe shost yangu Hata wiki bado humu lakini unataka kutuzidi maspeed watu wa zamani..inabidi niitishe kikao cha dharura Na akina salt Na Dinazalde....nimeshtukaaaaaAaah mkuu...Sweetapple na Sweetiepie hivi ni kitu kimoja kweli?! Kwanza had nasajili hilo jina Sikuambiwa kwamba kuna user humu analitumia maana ndugu mimi humu ni mgeni hata wiki Sijafikisha. Angalia vizur tena basi. Kama umelipenda langu niambie tubadilishane maana nahisi umetokea kulipenda sana[emoji23]
Weeee type ya benny wawe wachache buana, wakiwa wengi watanichanganya sana akili kwenye kuchagua lol
Mwache aongee kama ameboreka Je .unajua MTU akichukia akiongea ndo anapata ahueni.Mwacheni Ngabu.Mkuu ugomvi wako hauishi?
Unataka kuleta habari zingine kabisaa..kwani mkuu hili jukwaa ni la akina mtu fulani? au linamilikiwa na watu fulani kwamba wao tu ndio wanapaswa kuonekana humu? si mtu unapoguswa na mada unachangia au...labda uniambie wewe au moderator aniambie kama kuna boundaries za watu wapya kuchat. Kumbuka na wewe pia uliwahi kuwa mgeni humu hadi ukazoea jukwaa, sidhani kama namkera mtu humu maana situkani wala simkejeli mtu ila natoa tu maoni yangu kama mimi na sina haja ya kupata attention kutoka kwa mtu yeyote, sorry kama nakuboa, sorry indeed aisee yashakuwa hayo tena.Unajua nini kuna MTU aliuliza VP mbona unapost vile?? Sasa si kujua ulipost nini Na Mimi sikuwa JF kidogo nikabisha ....nimegundua.Ni Wewe kumbe uliniletea Shida kidogo...Sasa Na wewe shost yangu Hata wiki bado humu lakini unataka kutuzidi maspeed watu wa zamani..inabidi niitishe kikao cha dharura Na akina salt Na Dinazalde....nimeshtukaaaaa