KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Tatizo lako bahili. Bila kukuambia wanaumwa ndo hata hela ya juisi hautoi! Watakudanganyia hadi kansa nakuambia.
Tatizo lako bahili. Bila kukuambia wanaumwa ndo hata hela ya juisi hautoi! Watakudanganyia hadi kansa nakuambia.
Sa akinidanganya ivo unategemea nitaomba gemu tena!! ka nilikua na mpango wa kuoa nitaendelea kua nae?
Kwa kifupi apo nam-block tu akatibiwe na wazazi wake.
Utajibebaaa. Acha ubahili bwana. Ulcers zinahitaji soft diet japo ukimpeleka kwenye mishkaki ndo anakolezea ndimu. Kwani yeye nia yake kuombwa gemu ama kukuchuna tu? Utajijuuuu
Utajibebaaa. Acha ubahili bwana. Ulcers zinahitaji soft diet japo ukimpeleka kwenye mishkaki ndo anakolezea ndimu. Kwani yeye nia yake kuombwa gemu ama kukuchuna tu? Utajijuuuu
Wanaumwa kweli, kuna mmoja nimemtibu macho na miwani ya laki 2. Ila nimetumia AAR.
Wanaumwa kweli, kuna mmoja nimemtibu macho na miwani ya laki 2. Ila nimetumia AAR.
Mmmmh we mwana!!!!
Enheeeeee kilichojiri!!!!
Enheeeeee kilichojiri!!!!
Sasa kama umemdhibiti na kadi ya insurance angekataa. Mawani anaenda kupiga seli hiyo. Next unakutana na operesheni ya fibroids kabisa ndo utie akili
nini na wewe. Umemsikia mukulu kasema hopelesheni majangiri inaenderea? Lazma upigwe tu
Kilichojiri nini tena? Baada ya matibabu walau mgonjwa akaambulia dinner. Yeye amekalia whatsup msg tu baby nimekumiss, tuma hela ya pampers huko, eboo
Naendelea kumcheki nijue ka nia yake ilikua hela au alikua mgonjwa serious.
very sure Broo.Sa akinidanganya ivo unategemea nitaomba gemu tena!! ka nilikua na mpango wa kuoa nitaendelea kua nae?
Kwa kifupi apo nam-block tu akatibiwe na wazazi wake.
very sure Broo.
hata mimi headache sitaki maana ataleta shida kwenye ndoa na maendeleo yako kwakua itakua hivi. saving=matibabu+usumbufu wa kila siku mguu na njia kuelekea hospital i.e when pregnant ni two times.
My take is kama ni wakuoa tafuta ambaye strong at heart and bodly simanishi misuli and resistant to sickness.
perishable ones are only for a day show-off and some few night stands!
Kila msichana ninayekua nae, baada ya wiki moja mbili ya kufahamiana, utasikia tumbo la hedhi, mara vidonda vya tumbo, mara kipanda uso, miguu inauma, kifua kinabana, mara chango etc.
Ivi kitendo cha nyie kudondoka na kujitokeza kuombewa kwa wingi inaweza ikawa pia ni uthibitisho kuwa mpo gonjwa gonjwa sana?!
Make apo ni kabla ya ndoa, ukishaanza kupata complication za kujifungua itakuaje?
Kwanini msifanye full medical checkup?