Wanawake mmenishinda

Wanawake mmenishinda

Nadhani lugha ya Kiswahili ina ukakasi ndiyo maana wanakataa. Huku kwetu Geita ukiwaambia mimi ni security nipo GGM wanajipanga foleni, hawakumbuki kuwa wewe ni mlinzi.
 
Hehehe,, hao ndo wanawake bhana,
Ukimtoa mama yangu lakin
 
Nadhani lugha ya Kiswahili ina ukakasi ndiyo maana wanakataa. Huku kwetu Geita ukiwaambia mimi ni security nipo GGM wanajipanga foleni, hawakumbuki kuwa wewe ni mlinzi.
umeniburudisha sana. security ina thamani kuliko ulinzi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom