Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,775
Reaction score
6,246
Katika kila wanawake 10 utakaokutana nao,7 wamevaa nywele bandia, kwa hiyo ni ngumu kuwajua sura zao halisi. Hawa wanawake wanaovaa hayo majinywele bandia sijui wamekula maharagwe ya wapi?

Nani aliwaambia muweke midawa mpaka nywele zimenyonyoka utadhani mbayuwayu kakoswa na manati.Chukueni mfano kwa Waziri Fenela Mkangara alivyo halisia, big up sana mama.

Kwa hiyo badilikeni, mnatuzingua sana aisee.

Jaribu kujisitiri sana kwa kaul yako, kwani si wote, na utumie singlar & plural, alafu hvo v2 nikuendana na fashion we unataka mtu awe natural hair mpaka z mfanane kiac kwamba akiwa mbal mtu anajua flan anakuja,. Khaaaa!
 
Na nyie mmezidi lazima tuwachane laivu hakuna namna nyingine,inaonekana nawe umo katika kundi.
Kwani mmezaliwa hamna nywele? Ni kimuhemuhe chenu ndio kimewafanya mkose nywele,na tutawachana sana tu.
 
Shida ni hii brain washing inayofanyika hadi kwenye spiritual affair, si mchezo. Ndio maana wengi wanatamani kuwa na nywele kama za wanofanana na Mungu.
 
Na hayo mawigi ndio yanayopagawisha hadi mnaacha nyumba zetu na kwenda kuyahudumia. Wambeya wakubwa.... mnajifanya hamyapendi wakati mkiyaona suluali zinawatingishika!!!???? Tena wake zenu natural mnaona haya hata kutokanao out.... hovyoooooo kabisaa
 
Wengi wana nywele vipili pili , na upara ndo umekula wnegi sana......yaani kama mac regan kiapara....
hivyo wanavaa wigi kuficha aibu yao.
 
Na hayo mawigi ndio yanayopagawisha hadi mnaacha nyumba zetu na kwenda kuyahudumia. Wambeya wakubwa.... mnajifanya hamyapendi wakati mkiyaona suluali zinawatingishika!!!???? Tena wake zenu natural mnaona haya hata kutokanao out.... hovyoooooo kabisaa

Inaonesha mumeo huwa anaona aibu kutoka nawe maana umetoa experience nzuri
 
Back
Top Bottom