Wanawake mliopo Ndoani

Wanawake mliopo Ndoani

Bob Dylan

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
208
Reaction score
224
Wanawake mliopo ndoani mnajisahau wapi jamani. Kuolewa sio kujisahau, unakuta wenyewe mnatengeneza mazingira ya mtu kukuacha hapo akachepuke kisa mambo ya kipuuzi. Wanawake mliopo kwenye ndoa hebu acheni hizi tabia za ajabu ziguatazo hapa chini:-

1. Usafi, inabidi niite kujisahau cz kunawanawake wanachosha yani, suala la usafi ni mpaka ajiskie. sio usafi wa mazingira wala wa maeneo yake binafsi hili miliangalie jameni usafi chumbani, usafi wa nguo, usafi wa maeneo ya siri ni suala la msingi.

2. Simu, yaani mtu nakuta anavimba na simu muda wote mpaka nyumba inakua haina raha ya kukaa tena, mtu ni mitandao ya jamii muda wote mpaka anasahau majukumu yake ya msingi.

3. Uchoyo/Ubinafsi, msifikiri kwamba wanaume tu ndio anatakiwa akuletee kila kitu, kama Mungu amekujalia na kakipato kidogo hapo ndani basi changia vitu vidogovidogo kwenye familia usikue mzigo 100% mtu atakudharau.

4. Kujiweka mbali na wakwe na mawifi, sio vizuri kuzoeana zoeana lakini pia umbali unakuwa na kimo jamani, wewe ni mkwe lakini hutaki kabisa kukaa karibu na wazee wa mumeo nindoa gani unataka iendelee hapo?

Yangu ni hayo tu
 
Mtu asubuhi anakurupuka hajaswaki hajaosha pauchi na anataka akupe hivyohivyo aisee, unaeza ukazimia. Daah tunapitia mengi sana aisee, hizi ndoa ni ngumu.
 
Mi mwanamke akiwa ananuka mdomo na harufu ya kinyesi matakoni tunaishana sku hyo hyo , yaani huwa nawaona wanawake kama viumbe exception Sana , akiwa na hzi sifa kwangu namshusha thaman kabisa
 
Wanawake mliopo ndoani mnajisahau wapi jamani. Kuolewa sio kujisahau, unakuta wenyewe mnatengeneza mazingira ya mtu kukuacha hapo akachepuke kisa mambo ya kipuuzi. Wanawake mliopo kwenye ndoa hebu acheni hizi tabia za ajabu ziguatazo hapa chini:-

1. Usafi, inabidi niite kujisahau cz kunawanawake wanachosha yani, suala la usafi ni mpaka ajiskie. sio usafi wa mazingira wala wa maeneo yake binafsi hili miliangalie jameni usafi chumbani, usafi wa nguo, usafi wa maeneo ya siri ni suala la msingi.

2. Simu, yaani mtu nakuta anavimba na simu muda wote mpaka nyumba inakua haina raha ya kukaa tena, mtu ni mitandao ya jamii muda wote mpaka anasahau majukumu yake ya msingi.

3. Uchoyo/Ubinafsi, msifikiri kwamba wanaume tu ndio anatakiwa akuletee kila kitu, kama Mungu amekujalia na kakipato kidogo hapo ndani basi changia vitu vidogovidogo kwenye familia usikue mzigo 100% mtu atakudharau.

4. Kujiweka mbali na wakwe na mawifi, sio vizuri kuzoeana zoeana lakini pia umbali unakuwa na kimo jamani, wewe ni mkwe lakini hutaki kabisa kukaa karibu na wazee wa mumeo nindoa gani unataka iendelee hapo?

Yangu ni hayo tu
Namba 3 sijaelewa
 
Back
Top Bottom