Wanawake mlioolewa, jamaa akitaka mzigo mpe tu

Wanawake mlioolewa, jamaa akitaka mzigo mpe tu

Masistaduu wanaopenda kuolewa lakini wana mawazo mgando kwamba ile sio chakula, kwamba sex ni mateso na utumwa na kwanini nimpe kila siku, ukiwauliza wanasema kwani ndo kitu pekee jamani, kuna kwenda out, kuna kumfulia, kuna kupika.

Ningetaka kupikiwa si ningeoa mama ntilie jamani, acheni kuishi kwa (theory) jamaa akitaka mzigo mpe tu wala usilalamike jamaa anapenda kama kaona pipi, eti anaomba imekuwa nongwa, ndio nongwa kailipia hiyo ili aitumie, sasa unataka akamuombe nani?

Akitoka unaanza kulalama 'mwanaume hana shukrani hata umpe nini, wakati umempangia ratiba. Ni ushauri tu, ukiona nongwa usilalamike baadae maana nje kuna wasio na ratiba, hata sa 4 na saa 8 wao sawa.

We endelea kupika hadi kikuchachie..

Kwaherini
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji134][emoji134][emoji134]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom