Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,520
- 86,081
This time akamsomeshe Hata Uinjilisti awe Mtumishi wa Mungu in case akadanganywaPole kwa yaliyokusubu mkuu...hata wanaume wako hivyo hivyo ni kusali upate mtu sahihi
This time akamsomeshe Hata Uinjilisti awe Mtumishi wa Mungu in case akadanganywaPole kwa yaliyokusubu mkuu...hata wanaume wako hivyo hivyo ni kusali upate mtu sahihi
Hapa umemaliza kabisa"Ishini nao kwa Akili"
Pole kwa yaliyokusubu mkuu...hata wanaume wako hivyo hivyo ni kusali upate mtu sahihi
Vunja bei .🤣🤣🤣wakati mnasali mtumie na akili aliyowapa Mungu maana maombi yanatabia ya kuvuta hisia za mtu anachopenda, mfano mtu anayetaka harusi iwe komesha na mume awe handsome na kahela kidogo kwenye maombi utaonyeshwa vunjabei
Jifariji kidogo na mmakonde.Hivi ni kwanini unaweza ukajitoa kwa mwanamke wako ukampa kila kitu yaaan,wengine hadi wanawalipia mpaka ada zao vyuoni wakiwa masomoni huko LAKINI mkikosana kidg tuu anasahau wema wote(upendo) uliomtendea anakuacha unabaki unalia nakujiona una mikosi..??
Uko sahihikwa nini umlipie ada hana baba yake??
pole hilo nalo litapita
Hahahahaa tenda wema nenda zako, safari yetu duniani ni fupi mno!Daaaah mzee nimemuacha aende tuu mungu ambariq huko aendako sina kinyongo nae ila SIWEZI KUMPOKEA TENA
Dawa yao hawa unatoa hela ya pedi tuu
NakupendaWewe tenda wema uende zako. Ulipokuwa unamfanyia hayo si ulikuwa unapewa mbususu? Sasa kwa vile umemtendea wema ndiyo awe kifungoni hata ukifanya utopolo (au akipata mwingine bora zaidi yako) usipigwe chini kisa eti ulimtendea wema?
Chukulia wema wako kama ni sadaka. Ukilipwa mema sawa. Ukiambulia shubiri napo sawa. Binadamu ni kiumbe mtata sana na kumwekea mategemeo yenye mlengo mmoja ni kujitafutia matatizo tu. Live in the present. Timiza majukumu yako kwa mpenzi wako. Ukipewa hiyo mbususu itandike sawasawa...and expect nothing more, nothing less...Utaishi katika uhalisia zaidi.
#KuchapiwaHakuepukiki
#HawaraHasomeshwi
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Kweli hii maisha akupendae kweli ni Muumba wako tu, lakini binadamu hukosana na kuchukiana ghafla tuPole kwa yaliyokusubu mkuu...hata wanaume wako hivyo hivyo ni kusali upate mtu sahihi
Ndo hivo hatusahau lakini kama tumepata machaguo mengine tunafanyejePamoja na hayo lakini hua mnasahau sanaaaaa upendo mnaopewaga,hadi mnatuacha na stress ndio maana wanaume wengi sahv ni HIT $ RUN