Wanawake mkiendelea hivi hamtoingia peponi

Wanawake mkiendelea hivi hamtoingia peponi

[emoji28][emoji28][emoji28], walikuona wewe wa mananasi na machungwa.
Onyo lake ni kwamba eti hamtaingia peponi msipobadilika wakati katendewa wema wa ajabu. Kala kashiba tena msosi wa uhakika kwenye hoteli yenye hadhi, nauli to and fro kapewa; na mananasi na maembe juu. Sasa sielewi mambo ya kutoenda peponi yanatoka wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Onyo lake ni kwamba eti hamtaingia peponi msipobadilika wakati katendewa wema wa ajabu. Kala kashiba tena msosi wa uhakika kwenye hoteli yenye hadhi, nauli to and fro kapewa; na mananasi na maembe juu. Sasa sielewi mambo ya kutoenda peponi yanatoka wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi sijaelewa ujue[emoji1745][emoji1745]
 
Pole Sana mkuu

Enzi izo katika zululazula zangu Facebook nikapataga Manzi anamkwanja balaa sababu alikuwa ananitoa toa vivocha na vijicent. Siku akasema nikamtembelee kwao about 120 Km ivi, nikamwambia hapa sina hata Mia, akatuma nauli ya kwendea ya kurudi akasema atanipa nikifika.

Ile Nimefika tukakutana sehem tukaenda Garden kanunua kahawa tukawa tunakunywa tunainjoi wenyewe.Ghafla akatoea kajamaa fulan kametupia kinoma kapo na Subaru Mara nashangaa Yule dem ananitambulisha Huyu ni Baby yangu Anaitwa Frankie.

Pia akamtambulisha jamaa yake kuwa mim ni Best wake wa Facebook.. Nilitamani nikiwashe ile nikakumbuka sina hata mia ya nauli kurudi home nategemea kwa manzi ikabidi niwe mpole tu na ka-fake smile kwa mbali. Basi tukawa tunapiga story tukaagiza msosi pale wa maana jamaa akalipia kila kitu.

Basi jamaa akawa ananisimulia jinsi alivyo kutana na yule manzi, walivyo anza ku deti na mbaka kufikia walipo fika nikawa nasikiliza yanaingilia kulia yanatokea kushoto..

Ikawa jion mida ya saa kumi na mbili ikabidi nianze kuaga kuwa nataka kuwahi Gari (Busi) ingawa lengo ilikuwa ni kulala ila ndio ivyo movie imeharibika.

Tukapanda Subaru ya jamaa wakawa wananisindikiza standi njiani wakaninunulia Mananasi na Maembe. Tulivyo fika standi Jamaa akanitoa na buku tano nauli tukabadirishana namba za simu kwa ajiri ya mawasiliano zaidi pia nika muadd facebook basi ndio ikawa ivyo Day wasted.

Bad news Mananasi na maembe niliyasahau kwenye basi nilivyo shuka sababu nilikuwa nimesha vulugwa.

Wadada muwe mnatumbia ukweli kuwa mna watu wenu uko tunako wafata..
 
popote ukisikia wapumbafu wameitwa simama wima jipige kifua huku ukisema mimi ni mmoja wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom