Wanawake mkiachwa,

Wanawake mkiachwa,

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Hadi inafika hatua ya mwanaume anafanya maamuzi ya kuondoka kwako anakuwa amejaribu njia nyingi ili ubadilike, hakuachi kwa kosa la siku moja...

Mwanaume anakuacha kwa mlolongo wa makosa mengi aliyo jaribu kuyavumilia na anaona huwezi kuyaacha wala kubadilika.
 
Back
Top Bottom