Wanawake malaya

loh! Hili neno!

Naomba katika hiyo hoja yako binafsi upendekeze pia wa-legalize wanaume kufanya hiyo biashara na walipe kodi. Maana wanaume wengi tu wana tabia kama pampu ya kujazia mafuta ya BP, wakichomoa humu wanachomeka mle!
 
wanawake malaya wapo na katika Biblia inawaita makahaba, huo ndio ukweli huwezi kuukwepa mithali 7.10

sifa kuu ya mwanamke malaya ni kutoridhika na chochote alichonacho ikijumuisha mume wake na ndio maana anaenda kufanya uzinzi/uasherati/zinaa na mwanaume mwingine akidhani atapata raha zaidi ya ile anayoipata kwa mumewe.

Wanawake malaya tubuni dhambi zenu na kuokolewa ili mpate kumrudia Mungu awaondolee pepo la ngono na ukahaba na kuwapa raha ya milele someni ufunuo 21.8, mithali 28.13, luka 1.77, yohana 1.12
 

yeyote ambaye ameisha tembea na mwanaume zaidi ya mmoja ni malaya. si lazima awe anauza mwili.
kwa lugha nyingine hakuna aliye msafi na hakuna aliye na haki ya kumuita mwingine kahaba!
hata yesu ambaye ndiye mtu pekee aliyezaliwa na mwanamke bikira hakuthubutu kumuita yule kahaba hivyo!
 
Sema tofauti ni kuwa mmoja anabadilisha baada ya mwaka au miezi kadhaa na mmoja ni baada ya masaa machache....
Uliza swali jingine....
Ila status bado sijajua km wanafanana....
 
Back
Top Bottom