Wanawake mabikra tukutane hapa

Ukiwa na hofu na Mungu na kama ulipata malezi mema utajitunza tu kwa ajili ya kupata radhi za Mungu.

Usijitunze kwa ajili ya mume..wanaume hawana maana..ukiwa bikra atakuita gogo hujui kitu ukiwa mtundu atakuita malaya.
Na anaejitunza kwa hufu usemayo hawezi tangaza
 
Reactions: Pep
Hahahahah huku watu wapo Kwa ajili ya kuchangamsha jamvi maneno yao usichukulie serious,hivi na ww una amini kweli ni bikra?
 
Hukukutana na wenye voko za mitendo we mwenyewe ungeunga waya
 
Hahahahahah hapa unatafuta lawama Kwa wanawake wenzio,kuna ambae akifikiria hata ya tako Hana halafu ww unamringishia bikra,ni hatari saana by the way ngoja tuwasilize
Uzito wake upo kwa Mungu huko kila mtu ana kadi yake hamna atakae jisikia vibaya apo
 
Mko wawili tu na Miss Natafuta

Cc: Miss Natafuta
 
Hahaha wanawake wanafuraishaga sana wana mambo asee,..sasa icho kijeba ni kibkra kabisa,wakati kimeanza mapenzi darasa LA tatu c,aya maisha bila uongo uishi,..gadam!!
 
Hongera sana kama ni kweli lakini sijakuelewa nia yako ni nini hasa kuleta hiyo mada huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…