Wanawake mabikra tukutane hapa

Nilipataga moja tyuu kule fesibuku tokea hapo thija pata teena
 
huu uzi upo peke yako dada hongera sana..

labda mimi bikira wa kiume nikupe company.. tujimwaye mwaya mabikira tupu tupeane na namba na kutembeleana
Hahahahahahahahhahha!! aaaaa
 
ww unajua utakufa lini? labda kabla hujafunga ndoa, uoni kama hiyo ni hasara!!!
 
Lipia tangazo tu!
Hadi ujue JF bado uwe BIKRA?
Be serious please,bikra ya wapi masikioni au puani??
Nchi hii ina wenye vituko sana!!!!
 
Haaaahaaaaa...

Mkuu una memory Kali sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Virginity is not dignity but is lack of opportunities..niliwahai kumwambia mtu hivi mpaka leo najuta.
 
Bikra gani?hebu tuanzie hapo kwanza.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama ulijitunza kwa faida yako hongera kama kwa faida ya mwanaume pole sana.ni kama vile kujitunza afu kuolewa na mwanaume mla tigo so sad
 
Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
sio kweli kwamba litachacha kuna wadada wanajitunza wanakuja kutoa anapoolewa

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Kama ulijitunza kwa faida yako hongera kama kwa faida ya mwanaume pole sana.ni kama vile kujitunza afu kuolewa na mwanaume mla tigo so sad
kuna wanaume wanajitunza kama hao wanawake sio kila mwanaume anafanya hivo vitu...so wakikutana inakuwa ni perfect combo..

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama una bikra HONGERA SANA...NA MUOMBE SANA MUNGU AKUPE MWANAUME ANAYEJUA WAJIBU WAKE...KWA FAMILIA...JITUNZE SANA...NA OMBA SANA

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…