Wanawake mabikra tukutane hapa

Wapo mama, ila ni 1 kwa milioni.
Wao wako used hadi wamekuwa mali ya umma alafu wanatutaka sie mabikra, watutue kwakweli.
Huwa nawashangaa sana aisee. [emoji2] [emoji2]
 
Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo

Hahahaha! Tumuulize Lengo asifiwe au nini? Nini faida ya kuwa nayo hiyo bikra?kwa maana itatolewa tuu.
 
Kujitunza kunalipa sana.

Ni mwanaume mwenye akili pekee ndie anaeweza kuona thamani ya mwanamke aliejitunza.

Endelea kujitunza, na hongera sana kwa kujitunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…