Wanawake mabikra tukutane hapa

Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
...much respect to you ....leah2
 
Umenikaribisha kwenye uzi au PM...humu bikra nae mjua ni miss chaga tuuu wengine wote fake tupu
 
Wenye bikra hawezi kuwa na mitusi ya kishakunaku hivi.. kama wadada wa buguruni
Umeonaee, majibu yake hayaendani kabisa na hicho anachokitangaza.

Cha zaidi kama ni kweli naona anajipunguzia marks
 
Pole imekuuma kias
 
Lakini mbona wasio bikra wamepaniki kiasi hicho, naamini wengi mliridhia jamaa wazichomoe. Hata hivyo, kwa umri huo bila bila mmmh.

Huyu galatia nae, unaweza kuwa bikra lakini attitude mbovu, tabia mbovu, ni bure tu.
 
Weeeeee acha utani😛😛 nitazimia hapa sasa hivi😀😀 shinda kwenye nyumba za ibada labda ndo utapata mwanaume atakaekuelewa lasivo hiyo bikra soon itatoka kama ni kweli unayo
 
Lakini mbona wasio bikra wamepaniki kiasi hicho, naamini wengi mliridhia jamaa wazichomoe. Hata hivyo, kwa umri huo bila bila mmmh.

Huyu galatia nae, unaweza kuwa bikra lakini attitude mbovu, tabia mbovu, ni bure tu.
Waliozipoteza std 3 wamepovuka balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…