Wanawake mabikra tukutane hapa

Ndomana huwa hawapatikani hawa hebu angalia majibu yake hafu vuta picha na mtu anaejiheshimu
Kwani bikra na kujiheshimu vina uhusiano gani? Ina maana wale ambao walizipoteza wakiwa std 4 hawajiheshimu?
 
Asante kwa maneno yako ya faraja, asante pia kuelewa lengo la kuanzisha Uzi huu
 
Mbona wanawake ndio wanapinga sana uwepo wa hio 'bikra' ?
 
Kwani bikra na kujiheshimu vina uhusiano gani? Ina maana wale ambao walizipoteza wakiwa std 4 hawajiheshimu?
Wamepoteza mkuu huyu katunza hii kwa kuogopa Mungu na wa hivi hatoi matusi hovyo
 
Ukijitangaza kua ni bikra ndo utakutana na changamoto... Ivi mtu ukikaa kimya tu na kufanya yako nani atakuzonga kuhusu ubikira? Kwani ni lazima watu wajue kama umetobolewa au bado!?
Wala siogopi nazije tu ntakabirana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…