Wanawake leo nawapa ukweli wenu

Wanawake tupu kimya huku. Hao wako unaowaita ni watoto wa kike.
 

Ila na sisi wanaume tunakuwa mabwege saa ingine, fanya maamuzi magumu tu. Waonye waagize at their own risk
 
Nafikiri nikuto kuwa wastarabu. Mademu wangine bado wana mambo ya kizamani hawajui bajeti.
Wanatakiwa wafundishwe. Waga inakera sana. Sijui mtu hafikilii unapewa offer ww unabeba rafiki watatu bila kumtaharifu mtu.
Kuweni wastarabu sometime hilo jambo dogo sana
 
Hapo unawaacha wanakula na kunywa then unaenda lipa bili yako na ya uliyemwita then unawaacha unasepa
 
Kuna age flan ikifika wanakuaga na njaa sana kama siafu ndo maana wanajazana kuja kufanya mashambulizi
 

Kama huna pesa achana na michepuko
 
ujue nae dem wako huwa anadandiaga out za wenzie ndo analipa hivyo. binafsi outing ni mimi na mpenz wangu baaaaas. cku ingne waambieni waje peke yao.
 

Mkuu haujamalizia story ilikuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…