Wanawake kwisha habari yao

Umefeli sana, ata kifungu cha biblia uchotumia kama rejea bado hujakielewa ata chembe bali umekurupuka, umefeli kabisa, yaan sifuri.

Embu fafanua uhalisia wa aya hiyo. Then uonyeshe uhalisia katika ulimwengu wa leo
 
Pole wewe unae lalamika. Endana na mabadiliko

Wapi na lalamika Mkuu. Naona hujui hata ulichokoment. Unajua maana ya malalamiko? Nimetoa andiko na kulihusisha na ulimwengu tulio nao. Kama unaakili utajua hatua za kufuata ili uendane na unabii huo. Vinginevyo nakuona kama mhanga
 
kwa kwl maana dunia ya sasas

Kwa wanaume hawa sijui kwakweli. yaani kama mwanaume kumpa mpenzi wake hela analalamika huoni tupo mwisho dunia. Kwa sasa wanawake hasa wenye vielemu mshenzi na wajasiriamali ndio wanaojua raha ya maisha. Lakini makapuku daah mpaka huruma.
 
Ha haaa eti muhanga. Tatizo la unabii wako hauendani na wakati uliopo
Wapi na lalamika Mkuu. Naona hujui hata ulichokoment. Unajua maana ya malalamiko? Nimetoa andiko na kulihusisha na ulimwengu tulio nao. Kama unaakili utajua hatua za kufuata ili uendane na unabii huo. Vinginevyo nakuona kama mhanga
 
Ha haaa eti muhanga. Tatizo la unabii wako hauendani na wakati uliopo

Hauendani kivipi Mkuu? Hujui maudhuo yaliyomo ndani ya unabii huo nikufafanulie. Tafsiri ni kuwa siku zinakuja wanawake wengi(Isaya ameona aweke 7) Watakosa wanaume wa kuwaoa. Itafikia kipindi mwanamke atajitongozesha kwa mwanaume huku akisema atajihudumia mwenyewe, iwe chakula, mavazi, na matumizi mengine. Tena wengine itafikia hatua atajua kabisa fulani anamke lakini hatajali atakachojali ni kuwa na mwanaume. Hii mbona tayari ipo sana mjini.

Sasa wapi unabii hauendani na wakati.
 
Back
Top Bottom